Afisa Mtendaji Mkuu Wa AfD Azungumza Na Wajumbe Wa Bodi Ya GPE Mjini Paris

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AfD), Rémy Rioux, amezungumza mbele ya wajumbe wa Mkutano wa siku mbili wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (Global Partnership for Education – GPE) unaofanyika mjini Paris, Ufaransa, Juni 3,  2025, chini ya uenyekiti wa Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Mkutano huo umewakutanisha wajumbe zaidi ya 40 wanaowakilisha makundi mbalimbali ya ubia huo, wakiwemo wawakilishi kutoka nchi saba tajiri zaidi duniani (G7), pamoja na nchi washirika kutoka kanda zinazoendelea kiuchumi, hasa Afrika na Asia. Vilevile, mashirika mbalimbali ya kimataifa yanashiriki katika mjadala huo muhimu wa elimu. Katika kikao hicho, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Ali Jabir Mwadini, alitumia nafasi hiyo kuishukuru Serikali ya Ufaransa kwa ushirikiano thabiti uliopo kati ya Tanzania na Ufaransa. Alisisitiza utayari wa Tanzania kuendeleza na kukuza zaidi mahusiano hayo ya kidiplomasia na ya kimkakati kwa manufaa ya pande zote mbili, hasa katika sekta ya elimu. Mkutano huo wa GPE unalenga kujadili namna taasisi hiyo inaweza kuhimili na kukabiliana na changamoto za sasa duniani, ikiwemo mabadiliko ya sera za kimataifa, huku ukibeba matumaini ya kuboresha usawa na ubora wa elimu katika nchi zinazoendelea. Katika picha ya pamoja, kutoka kushoto ni: Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Ali Jabir Mwadini; Bi. Christine Hogan, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education (GPE); Bw. Rémy Rioux, Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AfD); Rais Mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi ya GPE, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete; Bi. Eléonore Caroit, Mbunge na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ufaransa; na Bi. Laura Frigenti, Afisa Mtendaji Mkuu wa GPE.

Chadema Kumfikisha Mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa – Video

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema hawakubaliani na maamuzi ya Msajili wa vyama wa kuwachagulia viongozi wao kinyume na Katiba yao na kuhusu kuzuia ruzuku ya chama hicho, hivyo watalipeleka suala hilo mahakamani. Heche ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo alisema: “Kuhusu taarifa aliyoitoa Msajili wa Vyama vya Siasa ya kuzuia ruzuku ya chama (CHADEMA), tunaenda Mahakamani kwa sababu Msajili wa Vyama vya Siasa amechukua jukumu la kuzuia ruzuku ya chama chetu, sasa sheria anayoisimamia Msajili mwenyewe yaani Sheria ya Vyama Siasa, kifungu cha 18(6) kinasema Msajili ana uwezo wa kuzuia ruzuku ya chama kingine chochote cha siasa kinachopokea ruzuku pale tu ambapo kuna kweli ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa chama hicho” “Kwamba labda chama kimefanya matumizi ya hovyo ya fedha na Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) amekagua na ametoa ripoti, kama vile mnavyosikia ripoti ya CAG inasema serikali imefanya matumizi yasiyokuwa na tija, sasa kwetu sisi (CHADEMA) kama mkaguzi angekuwa amekagua tukapata hati chafu kwa mfano au fedha zimetumika vibaya, au jambo lingine lolote linalofanania na hilo, kwa mujibu wa kifungu hicho cha 18(6) hapo tu ndipo Msajili anapopata mamlaka ya kuzuia ruzuku” amesema Heche Akaongeza: “Utaratibu wa jambo hili unaenda mpaka kwenye utaratibu ikiwemo barua, na hilo linaenda mpaka kwenye Baraza la Wadhamini la chama, kwa sababu chama hiki ni mali ya Baraza la Wadhamini, sasa ili hatua hiyo ifikiwe ni lazima chama kishindwe na Bodi ishindwe, na ripoti maalum za ukaguzi zioneshe kwamba kuna matumizi ya hovyo, sasa tunaenda Mahakamani kuonesha kutokubaliana na jambo hilo, tutawaelekeza wanasheria wetu ikifika Alhamisi, jambo liwe limeenda mahakamani.” Na Elvan Stambuli GPL.

ALILIA KILA SIKU KWA KUNYIMWA MAPENZI, SASA AMEOLEWA NA MWANAMUME MWENYE UPENDO ANAYEMHESHIMU KILA SIKU

Afisa Mtendaji Mkuu Wa AfD Azungumza Na Wajumbe Wa Bodi Ya GPE Mjini Paris

Chadema Kumfikisha Mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa – Video

ALISHINDA MILIONI 10 KUPITIA KUBETI MECHI TANO TU, SASA AMEWEKEZA KWENYE ARDHI NA MAGARI YA BIASHARA

ALISHINDA MILIONI 10 KUPITIA KUBETI MECHI TANO TU, SASA AMEWEKEZA KWENYE ARDHI NA MAGARI YA BIASHARA

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Odds Kubwa na Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Meridianbet

  • 11 Apr 2025
  • 13
© Image Copyrights Title

Cheza Book of Eskimo Kasino Bora ya Meridianbet

  • 11 Apr 2025
  • 10
© Image Copyrights Title

Nelly Kamwelu Amuangukia Mama Yake

  • 11 Apr 2025
  • 12
© Image Copyrights Title

Ufanisi wa TCAA Wapongezwa na Msajili wa Hazina

  • 11 Apr 2025
  • 10
© Image Copyrights Title

Tundu Lissu Asomewa Shitaka la Uhaini Mahakama ya Kisutu

  • 10 Apr 2025
  • 16
© Image Copyrights Title

Oparesheni ya TAWA Yaua Fisi 43 Itilima, Bariadi na Maswa

  • 10 Apr 2025
  • 12
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Rihanna Afiwa Na Baba Yake Mzazi ‘Ronald Fenty’.

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 41
Read all News
© Image Copyrights Title

Rihanna Afiwa Na Baba Yake Mzazi ‘Ronald Fenty’.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 41
© Image Copyrights Title

Mbosso Anakuja Na Jambo Gani ?

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 35
© Image Copyrights Title

Diamond amuoa Zuchu, asema “Siku Ikifika Nitawaambia Ilivyokuwa”

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 30
© Image Copyrights Title

Chris Brown ashitakiwa kwa kumshambulia mtu kwenye klabu ya Usiku

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 44
© Image Copyrights Title

D Voice Atarajia Kuachia Ep yake Mpya

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 53
© Image Copyrights Title

Bobby Shmurda Asitisha Tour Yake, Auza Tiketi 10 Tu Kila Mji.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 38
© Image Copyrights Title

Wasanii Wanaowania Tuzo Za BET 2025.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 31
© Image Copyrights Title

Diamond Mfalme Wa Youtube Africa.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 47
© Image Copyrights Title

Rihanna Na Asap Rocky Watarajia Kupata Mtoto Wa 3.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 42
© Image Copyrights Title

Yammi Aacha Na Label Ya Nandy ‘The African Princess’.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 52

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

KISA KUFUNGWA NA SINGIDA JUZI…..FADLU AITAJA YANGA….AFUNGUKA A-Z UGUMU ULIPO…

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 36
Read all News
© Image Copyrights Title

KISA KUFUNGWA NA SINGIDA JUZI…..FADLU AITAJA YANGA….AFUNGUKA A-Z UGUMU ULIPO…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 36
© Image Copyrights Title

MRITHI WA AZIZI KI YANGA HUYU HAPA….MABOSI WAANZA KUFANIKISHA DILI MAPEMAAA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 34
© Image Copyrights Title

WAARABU WAITIBULIA YANGA DILI LAKE NA MOKWENA….MBADALA WAKE NAYE SI HABA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 26
© Image Copyrights Title

AHOUA, MUTALE ‘WAWATOA MATE’ KAIZER CHIEFS…..NABI ATUA BONGO KUSETI MIPANGO….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 17
© Image Copyrights Title

BAADA YA KUANZA KUNG’AA UPYA …MUTALE AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA ALIYOKUWA ANAPITIA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 36
© Image Copyrights Title

KISA CAF….HAYA HAPA MAAMUZI MAGUMU YA MO DEWJI SIMBA….FADLU KICHEKO TU…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 29
© Image Copyrights Title

ZA NDAAANI…MOKWENA AIPA MASHARTI HAYA YANGA….MFARANSA WA ASEC MHHH 🧐….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 34
© Image Copyrights Title

KISA AZIZ KI KUSEPA MAPEMA….BEKI YANGA AVUNJA UKIMYA….ATAJA HOFU, UBORA WA TIMU…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 36
© Image Copyrights Title

KUHUSU YANGA KUPATA BIL 1 FEI AKIENDA SIMBA….AZAM FC ‘WASHINDILIA MSUMARI’…UKWELI HUU HAPA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 41
© Image Copyrights Title

TAARIFA KAMILI YA PROMOSHENI – GATES OF OLIMPIA SASA NDANI YA MERIDIANBET..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 34
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook