Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

BONASI YA KIBABE KUTOLEWA UKIBASHIRI NA GG&3+…

  • 30
Scroll Down To Discover

Je unajua kuwa Jumanne ya leo unaweza ukajipatia bonasi ya kibabe ndani ya Meridianbet kwenye mtanange huu wa Nusu Fainali ya Kombe la Dunia kati ya Fluminense vs Chelsea. Bashiri kwa GG&3+ na upate bonasi ya uhakika hapa.

Kila timu inatupia jicho kucheza Fainali ya michuano hii ambayo safari hii imekuja kwa njia nyingi kabisa ikishirkisha vilabu kadhaa kutoka mabara yote kabisa huku ikizingatia nafasi nzuri zilizofika timu hizi ndani ya miaka mitano.

Fluminense kutoka Brazil hawapewa nafasi kubwa ya kuwatoa The Blues kutokana na Odds zao kwani ni 5.80 kwa 1.70. Nani kutinga fainali hii ya Kombe la Dunia la vilabu leo?. Beti na GG&3+ ndani ya Meridianbet ujiweke kwenye nafasi ya kushinda zawadi kibao ikiwemo bonasi.

Mkwanja upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

SHERIA ZA PROMOSHENI HII

  • Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
  • Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 08 mwezi Julai 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
  • Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Fluminense vs Chelsea kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,

BONASI YA 1

Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za Fluminense vs Chelsea  kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).

Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya Fluminense vs Chelsea lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.

BONASI YA 2

Kama mchezo wa Fluminense vs Chelsea ukimalizika 0-0

  • Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.

 

  • Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Bashiri sasa.

 

The post BONASI YA KIBABE KUTOLEWA UKIBASHIRI NA GG&3+… appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post MAISHA YA CAMARA SIMBA HATARINI….MABOSI WAVUTANA ‘ABAKI AU ASEPE’….
Next Post TZS BILIONI 1.5 ZIPO MEZANI, JIUNGE NA LUCKY RUSH TOURNAMENT YA MERIDIANBET LEO
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook