About Us

Scroll Down To Discover

Our Story

Who we are

BongoNet. ni jukwaa la kidigitali linalolenga kuunganisha watu kupitia burudani, habari, muziki, na teknolojia. Tumeanzishwa kwa lengo la kutoa huduma bora za kidijitali kwa Watanzania na Afrika kwa ujumla, tukitoa majukwaa ya ubunifu kwa wasanii, wanahabari, na watumiaji wa kawaida kuonyesha vipaji vyao na kusambaza taarifa kwa haraka.

Kupitia BongoNet, unaweza kusikiliza muziki mpya, kutazama video, kusoma habari za kitaifa na kimataifa, pamoja na kufaidika na huduma mbalimbali za kijamii na kiteknolojia. Tunahakikisha kuwa tovuti yetu inapatikana na kufanya kazi kwa ufanisi kwenye vifaa vyote — iwe ni simu janja, tablet au kompyuta ya mezani.

Tunaamini katika nguvu ya mawasiliano na ubunifu. Kwa hiyo, kila kipengele cha BongoNet kimebuniwa kwa umakini mkubwa ili kukupa uzoefu bora zaidi wa mtandaoni. Tovuti yetu inahifadhi vipaji vya ndani ya nchi, na kuvipeleka mbele ya macho ya dunia.

Our Story Video

"Naye (Mwenyezi Mungu) amemfundisha binadamu kwa kalamu. Amemfundisha binadamu asiyoyajua."

Surat Al-‘Alaq (96:4–5).

Said B. Said

Bongo Net. CEO
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook