Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Ni PSG au Real? Bashiri GG&3+, Ushinde Bonasi ya Hadi TZS 60,000!

  • 27
Scroll Down To Discover

Nusu fainali kali kabisa kupigwa leo katika dimba la MetLife kati ya PSG vs Real Madrid. Fursa ipo mikononi mwako leo ukibashiri mechi hii kwa GG&3+ huku ukiongeza mechi zako zingine na kushinda zawadi kedekede ikiwemo bonasi.

Ni siku ya PSG kulipa kisasi kwa mabingwa hawa wa Ulaya mara 15 huku kikosi cha Luis Enrique kikiwa na hamu ya kuchukua makombe karibu yote baada ya kuchukua UEFA kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo. Real Madrid msimu huu umekuwa mbovu kwao huku wakiondoka kapa yaani bila kuambulia chochote.

Lakini wakiwa chini ya kocha mpya Xabi Alonso wanahitaji ushindi huu wa leo angalau waweze kuchukua Kombe hili. Wewe mteja wa Meridianbet ukibashiri na GG&3+ mtanange huu wa PSG vs Real unaweza ukapata bonasi kabambe kabisa. Unangoja nini leo?. Changamkia fursa hii sasa.

Ukiachana na ukubwa wa mechi hii lakini pia wanakutana baadhi ya wachezaji ambao wamewahi kukipiga katika timu moja akiwemo Hakimi na Mbappe ambapo kwasasa wapo timu tofauti. Beti yako unampa nani?. Suka jamvi hapa.

Mkwanja upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

SHERIA ZA PROMOSHENI HII

  • Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
  • Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 09 mwezi Julai 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
  • Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa PSG vs Real Madrid kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,

BONASI YA 1

Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za PSG vs Real Madrid kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).

Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya PSG vs Real Madrid lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.

BONASI YA 2

Kama mchezo wa PSG vs Real Madrid ukimalizika 0-0

  • Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.

 

  • Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Beti hapa.



Prev Post Jeshi la Polisi Lamshikilia Mwanaume Kwa Mauaji ya Mpenzi Wake – Video
Next Post Expanse Tournament, Jiunge, Cheza, na Shinda Zawadi Kubwa kutoka Meridianbet
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook