Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mgombea mwenza wa CCM, Dkt. Nchimbi, apiga kambi Kagera kusaka kura za kishindo

MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili katika uwanja wa Kashai,Bukoba mjini kuwahutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni lSeptemba 7, 2025 mkoani Kagera. Awali leo Dkt.Nchimbi ameanza ziara yake ya kampeni Mkoani humo akianzia Jimbo la Ngara, Kyerwa, Katoro-Bukoba Vijijini na kuhitimisha kwa mkutano mkubwa jioni hii hapa Bukoba Mjini. Dk Nchimbi anaendele na mikutano yake ya kampeni ya kusaka kula za ushindi wa kishindo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchi nzima,ambapo kwa sasa yuko mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo alianzia mkoani Mwanza, Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita na sasa yupo mkoani Kagera. Dkt.Nchimbi anaendelea kuinadi Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030, ambayo inalenga kuboresha maisha ya wananchi na ustawi wa maendeleo katika miaka mitano ijayo huku akitumia nafasi hiyo kuwaomba wananchi kumchagua mgombea Urais wa CCM, Dkt Samia Suluhu Hassan, Wabunge na Madiwani wa Chama hicho kwa kura za kishindo ifikapo Oktoba 29, 2025. Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akimsikiliza Mlemavu wa Miguu,Amos Kalungula mara baada ya kuwahutibia Wananchi wa Bukoba Mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi Kashai, leo Jumapili Septemba 7, 2025 mkoani Kagera.    

DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA…

DIRISHA la usajili la usajili linatarajiwa kufungwa usiku wa leo, huku kukiwa na sapraizi kubwa kwa klabu ya Simba baada kutema mastraika wawili walioibeba timu hiyo msimu uliopita, huku winga aliyekuwa akitajwa huenda angefyekwa, akisalimika kama zali. Ipo hivi. Msimu uliopita, Simba iliongozwa eneo la mbele ya washambuliaji Steven Mukwala na Leonel Ateba kila mmoja akifunga mabao 13 sawa na aliyomaliza nayo Jonathas Sowah aliyekuwa Singida Black Stars kabla ya kutua Msimbazi kwa ajili ya kikosi cha msimu ujao. Nyota hao wawili kila mmoja pia aliasisti mara nne, lakini timu ikiwa kambini Misri, Ateba aliaga baada ya kupigwa bei Al Shorta ya Iraq kisha akashushwa Seleman Mwalimu ‘Gomes’ kwa mkopo akitokea Wydad Casablanca ya Morocco. Hivi unavyosema taarifa hii ni kwamba mabosi wa klabu hiyo wamempiga bei Mukwala kwa klabu ya Al Ittahad ya Libya na muda wowote taarifa itatolewa rasmi, lakini winga aliyekuwa akielezwa alikuwa atolewe Joshua Mutale akisalimika. Simba ilishapitiliza idadi ya wachezaji 12 wa kigeni kama inavyotakiwa kwa kanuni za usajili wa Ligi Taarifa ni kwamba kabla ya dirisha la usajili kufungwa usiku wa leo, ni kwamba Mukwala amepigwa bei Al Ittihad ya Libya na ilikuwa inasubiriwa tu kutangazwa rasmi. Mukala aliyeasisti pia mabao manne kama ilivyokuwa kwa Ateba, msimu uliopita licha ya kutumika kwa dakika chache, taarifa zilidokeza kuwa hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba msimu ujao 2025/26. Inaelezwa kwamba Simba ilipokea ofa ndefu kutoa Al Ittihad ya Libya ambayo imetuma ofa ya kumnasa mshambuliaji huyo na kuwa sehemu ya kikosi chao msimu huu. Chanzo cha kuaminika kutoka Simba kimesema kuwa Al Ittihad wamefika dau la kumnunua mshambuliaji huyo na dili hilo linatajwa kukamilikajana na uthibitisho utatolewa. “Ni kweli tumefikia makubaliano ya kumuuza Mukwala kwenda Al Ittihad na kuna uwezekano akasajiliwa mchezaji mmoja ambaye atapishana na Mukwala kama kocha alivyosisitiza kuongezwa mchezaji mmoja,”kilisema chanzo hicho na kuongeza; “Tumemuuza Mukwala kwa dau nono sana siwezi kuweka wazi ni kiasi gani lakini pesa hiyo itatusaidia kunasa saini ya mchezaji mwingine yeyote bora kama ambavyo kocha Fadlu amesisitiza kusajiliwa mchezaji mwenye ubora mkubwa.” Mukwala ambaye wakati anatua Simba iliripotiwa amesaini mkataba wa miaka mitatu, tayari ametumikia mwaka mmoja na kuisaidia timu hiyo kufika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kupoteza mbele ya RS Berkane ya Morocco. “Makubaliano ya pande zote mbili kati yetu sisi Simba na Al Ittihad yanakwenda vizuri nafikiri taarifa ya usahihi zaidi kama dili limekwenda kama lilivyopangwa kesho (leo) itatolewa na kila mwanasimba ataupongeza uongozi kwa biashara nzuri tuliyoifanya.” Hata hivyo taarifa kutoka vyanzo vingine vinadai kuwa Simba watavuna karibu dola za kimarekni milioni moja sawa au zaidi ya Bilioni 2.5 za kitanzania kwa kumuuza nyota huyo anayechezea pia timu ya Taifa ya Uganda. Taarifa zinasema kuwa Simba wameongeza maongezi juu ya kumpata nyota mwingine wa Uganda, John Okello anayechezea klabu ya Vipers ili kuwahi dirisha la usajili kabla halijafungwa leo saa sita usiku. Hivi karibuni kocha, Fadlu alikaririwa akisema kuwa bado wanahitaji angalau mchezaji mmoja mwenye kitu cha ziada (X-Factor) atakayewaongezea kitu hasa kwenye michuano ya kimataifa pamoja na mbio za ubingwa wa ligi. Hivyo kuuzwa kwa Mukwala kunatoa nafasi kwa Simba kufanya usajili mapema kabla ya dirisha la usajili la ndani halijafungwa. Credit:- MwanaSpoti. The post DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA… appeared first on Soka La Bongo.

NAFASI Za Kazi Azam TV

NAFASI Za Kazi Azam TV NAFASI Za Kazi Azam TV Azam TV is offering an exciting career opportunity for a LED Perimeter Technician. This role is perfect for individuals with strong technical skills, hands-on experience in LED systems, and the ability to work under pressure to ensure flawless performance during live events. Job Purpose The LED Perimeter Technician will be responsible for ensuring smooth operation, troubleshooting, preventive maintenance, and timely replacement of LED perimeter boards and related components. The goal is to guarantee uninterrupted display quality during live productions, sports events, and commercial broadcasts. Key Responsibilities 1.Operation & Monitoring Monitor LED perimeter screens during events for uninterrupted performance. Verify input signals from media servers, video processors, and related devices. Ensure proper synchronization between sending/receiving cards, media converters, and control systems 2.Troubleshooting & Repairs Diagnose and resolve faults in LED modules, power/data cables, and sending/receiving cards. Perform on-site diagnostics for issues like pixel drops, mismatches, or signal loss. Replace defective components promptly with minimal downtime. 3. Routine & Preventive Maintenance Conduct inspections of LED panels, cabling, and power systems. Implement cooling systems and cleaning measures to prevent faults. Keep accurate reports on maintenance and repairs. 4.Upgrades & Replacement Advisory Recommend replacements for aging LED modules and components. Advise on spare parts management and inventory. Support software updates, firmware upgrades, and calibration of LED boards. 5. Technical Coordination Work closely with engineers, IT, and operations teams. Ensure seamless integration of LED systems with video processors and broadcast feeds. Assist in setup, dismantling, and reconfiguration of LED perimeter systems. 6.Compliance & Safety Follow safety standards for handling electronic/electrical equipment. Ensure compliance with venue and broadcast operational requirements. Key Skills & Competencies Strong knowledge of LED display systems and sending/receiving cards (e.g., NovaStar, ColorLight, Linsn). Hands-on experience with video processors, media converters, and signal distribution. Ability to troubleshoot and resolve hardware/software issues quickly. Familiarity with Ethernet, fiber optics, SDI/HDMI/DVI connections. Good understanding of preventive maintenance for electronic equipment. Strong reporting and communication skills. Flexible with working hours, including nights, weekends, and event days. Qualifications & Experience Diploma/Degree in Electronics, Electrical Engineering, Broadcast Technology, or related fields. Minimum 2–3 years’ experience working with LED display systems (preferably in live broadcast or sports environments). Experience with LED perimeter advertising systems will be an added advantage. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Azam TV. Join Azam TV today and be part of a dynamic team ensuring the best in live broadcast technology! Interested candidates should submit their CV to: recruitment@azam-media.com, Ensure you indicate the job title in the subject line of your email Deadline is 6th September 2025.

Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini

Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta Septemba 2025Download The post Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini appeared first on SwahiliTimes.

Mgombea mwenza wa CCM, Dkt. Nchimbi, apiga kambi Kagera kusaka kura za kishindo

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 08 , 2025

DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA…

NAFASI Za Kazi Azam TV

Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

NAFASI Za Kazi Johari Rotana

  • 14 Aug 2025
  • 104
© Image Copyrights Title

NAFASI Za Kazi First Housing Finance Limited

  • 14 Aug 2025
  • 89
© Image Copyrights Title

NAFASI za Kazi Kilombero Sugar Company Limited

  • 14 Aug 2025
  • 93
© Image Copyrights Title

NAFASI Za Kazi Mo Finance Corporation Limited

  • 14 Aug 2025
  • 89
© Image Copyrights Title

Bwawa la Ethiopia Latishia Usalama wa Maji Misri

  • 14 Aug 2025
  • 54
© Image Copyrights Title

Jela Maisha Kwa Kumlawiti Mtoto Wa Miaka 4

  • 14 Aug 2025
  • 38
© Image Copyrights Title

Rais Mwinyi Ateua Wakurugenzi Wapya Serikalini

  • 13 Aug 2025
  • 60
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 31
Read all News
© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 31
© Image Copyrights Title

WAZIRI DKT. GWAJIMA AMWAKILISHA SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AKSON KWENYE HAFLA YA MISS UNIVERSE TANZANIA, 2025,

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 49
© Image Copyrights Title

WAZIRI MWITA AWATAKA WANAMITINDO KUIWAKILISHA VEMA NCHI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 94
© Image Copyrights Title

“KAMA WAO” YAINGIA MTAANI! MUGGA MO NA BANDO MC WAPIGA KAZI SAFI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 182
© Image Copyrights Title

ADONIJAH OWIRIWA ,  MTAYARISHAJI MKUU WA FESTAC ’77, ANASEMA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 71
© Image Copyrights Title

BASATA YA WAJENGEA UELEWA WA MIFUMO KUSOMANA MAAFIA UTAMADUNI NA BIASHARA MARA 

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 68
© Image Copyrights Title

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 64
© Image Copyrights Title

CDQ HATIMAYE AMEZINDUA VISUALIZER YA WIMBO MAARUFU “SUWE”

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 70
© Image Copyrights Title

MTANZANIA MWANAMUZIKI KAMANDA RAS MAKUNJA KUTUNIKIWA TUZO YA “Ambassodor of African Culture” NCHINI UJERUMANI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 75
© Image Copyrights Title

UZINDUZI WA HEINEKEN SILVER WATIKISA CHINI YA ARDHI KWA MBWEMBWE ZA KIPEKEE

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 70

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA…

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 46
Read all News
© Image Copyrights Title

DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 46
© Image Copyrights Title

YANGA WAIPIGA SIMBA BAO ‘ISHU’ YA UWANJA….ISHU NZIMA IKO HIVI….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 38
© Image Copyrights Title

NI ZAIDI YA NOMAA😎👌🔥…YANGA WATIA MEZANI BIL 33 KUIFUNGA SIMBA …

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 36
© Image Copyrights Title

CHUKUA HIYOOOO….YANGA WAIACHA MBALI AL AHLY YA MISRI….UKITAKA KUINUNUA JIPANGE…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 38
© Image Copyrights Title

KISA KIPA NA BEKI MPYA…FADLU AWATEGA MASTAA SIMBA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 47
© Image Copyrights Title

SIMBA MPYA HII HAPA….MO DEWJI AJIWEKA KANDO…TRY AGAIN APIGWA CHINI…MAGORI, BARBARA WAULA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 72
© Image Copyrights Title

TIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP, KUANZA SEPTEMBA 2

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 34
© Image Copyrights Title

MWISHOOO….AZAM WAGONGELEA MSUMARI KAULI YA SIMBA KWA FEI TOTO….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 33
© Image Copyrights Title

KANUNI MPYA TFF….SIMBA, YANGA KUCHEZESHWA NA REFA KUTOKA NNJE…MAPRO WOTE RUKSA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 30
© Image Copyrights Title

BAADA YA KAMBI YA MISRI KUISHA…FADLU KAKUNA KICHWA WEE…KISHA AKASEMA HAPA BADO…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 27
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook