Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Nchimbi Apokea Baraka za Mama Yake Mzazi

  • 61
Scroll Down To Discover


Mama mzazi wa Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akimpa baraka mwanaye muda mfupi kabla ya mgombea huyo mwenza kwenda kuungana na mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan, kuchukua fomu za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu leo, tarehe 9 Agosti 2025, katika Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).



Prev Post Rais Samia: Tukomeshe Makundi Baada Ya Uteuzi, Tujikite Katika Umoja Wa CCM – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook