Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MTANZANIA MWANAMUZIKI KAMANDA RAS MAKUNJA KUTUNIKIWA TUZO YA “Ambassodor of African Culture” NCHINI UJERUMANI

  • 7
Scroll Down To Discover

Mwanamuziki Ebrahim Makunja kutunukiwa Award ya “Ambassador of African Culture” tuzo hiyo inayotolewa na Africa We want organisation la ujerumani linautambua mchango wa mwanamuziki huyo mtanzania kiongozi na mwanzilishi wa bendi maarufu The Ngoma Africa Band yenye majina mengi yaliobatizwa na washabiki wake kama Viumbe imara wa ajabu “Anunnaki Alien’s ” kutoka special Planet Bongoland, FFU Ughaibuni wakifananishwa kikosi maalumu, Kikosi kazi hiko The Ngoma Africa Band chenye masikani kule ujerumani ambayo kimeutangaza vema muziki wa kiafrika katika kila kona za kimataifa 🎼👏🏿



Prev Post UZINDUZI WA HEINEKEN SILVER WATIKISA CHINI YA ARDHI KWA MBWEMBWE ZA KIPEKEE
Next Post CDQ HATIMAYE AMEZINDUA VISUALIZER YA WIMBO MAARUFU “SUWE”
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook