MAGAZETI ya Leo Jumamosi 31 May 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 31 May 2025 MAGAZETI ya Leo Jumamosi 31 May 2025 Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2025 iliyozindiliwa jijini Dodoma May 30,2025 katika ukurasa wake wa 41, 42, 43, na 44 imetaja mkakati wa kuendelea kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji nchini. Mipango iliyopo ni kuunganisha kwa kiwango cha lami barabara za makao makuu ya mikoa na wilaya. Kuhakikisha kuwa barabara zote za vijijini zinakarabatiwa na kujengwa, ili ziweze kupitika katika kipindi chote cha mwaka. Kuanza ujenzi wa barabara za juu (flyovers) katika makutano ya barabarabkatika maeneo ya Morocco, Mwenge, Magomeni na Tabata, jijini Dar es Salaam. Kukamilisha miradi ya ujenzi wa madaraja inayoendelea ikiwemo madaraja ya Malagarasi Chini (Kigoma), Mkenda (Ruvuma), Godegode (Dodoma), Mzinga (Dar es Salaam), Simiyu (Mwanza), Nzali (Dodoma), Ugalla (Kigoma), Sanza (Singida), Mitomoni (Ruvuma), Malagarasi Juu (Kigoma), Mkundi (Morogoro), Pangani (Tanga), Kalebe (Kagera), na Mto Msimbazi eneo la Jangwani (Dar es Salaam). Ujenzi wa barabara kubwa za kuunganisha mikoa na nchi jirani ikiwemo barabara ya njia nne ya Igawa – Uyole – Songwe – Tunduma (km 218), barabara ya Kibaoni – Majimoto – Inyonga (km 162), barabara ya Tarime – Mugumu (km 87), barabara ya Geita – Bukoli – Kahama (Busoka) km 133.9, barabara ya Mabokweni – Maramba – Bombo Mtoni – Umba hadi Same (278km). Kuendelea na ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo Haraka (BRT) Awamu ya IV – VI katika barabara za Ali Hassan Mwinyi – Morocco – Mwenge – Tegeta na Mandela kuanzia makutano ya Ubungo na Bandari, makutano ya Mandela/ Tabata – Tabata Segerea na Tabata – Kigogo. Ujenzi wa reli ya Standard Gauge Mwanza – Isaka (km 341), Makutupora – Tabora (km 368), Tabora – Isaka (km 165), TaboraKigoma (506), Uvinza- Musongati (km 156.6) Kujenga reli na kuweka usafiri wa treni za mijini (Metro) katika majiji ya Dar es Salaam na Dodoma ili kupunguza msongamano na kurahisisha usafiri Kujenga reli ya kisasa ili kuunganisha Bandari ya Tanga kuelekea Arusha hadi Musoma (km 1,108) Kujenga bandari mpya ya Bagamoyo Kuboresha bandari za Dar es Salaam, Mtwara, Tanga, Kigoma, Kalema, Musoma na bandari kavu katika eneo la Kurasini – Dar es Salaam, Kwala – Pwani na Ihumwa – Dodoma. Kukarabati meli zilizopo katika maziwa makuu na kujenga meli mpya za mizigo na abiria katika Ziwa Tanganyika, Ziwa Victoria, Ziwa Nyasa na Bahari ya Hindi. Kuendelea kuimarisha Shirika la Ndege Tanzania kwa kununua ndege nane.

Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Waliomgombea Mwijaku Wafikishwa Kortini, Wasomewa Mashtaka Nane

Wanafunzi watatu wa kike kutoka vyuo vikuu mbalimbali Jijini Dar es Salaam wanaodaiwa kumdhalilisha mwenzao mitandaoni, wamefikishwa katika Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka nane, ikiwemo kula njama na kutishia kumuua mwenzao Magnificat Kimaro kwa kisu Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na wakili wa serikali Tumaini Mafuru imewataja washtakiwa hao kuwa ni Mary Matogoro (22) Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam Mkazi wa Sinza, Ryner Mkwawili (22), Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi, Dar es Salaam Mkazi wa Makongo na Asha Juma (22), Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu, Dar es Salaam Mkazi wa Kigamboni. Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Gwantwa Mwankuga inadaiwa Machi 16, 2025, katika eneo la Sinza, Wilaya ya Ubungo, mkoani Dar es salaam washtakiwa walikula njama ya kuchapisha taarifa za uongo. Ilidaiwa kuwa katika shtaka la pili Matogoro na Juma wanatuhumiwa Machi, 2025 wakiwa katika eneo lisilofahamika ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walichapisha taarifa za uongo zilizosomeka, ‘Toa sauti umefuck na mpenzi wa Mwijaku lini, umefuck nae wapi’? kwa lengo la kumkashifu  Magnificat Kimario.   Taarifa hiyo ilikuwa katika mfumo wa kumpyuta na kusambaza katika mtandao wa WhatsApp na kumshakishifu hadharani Kimario huku wakifahamu taarifa hizo ni za uongo.  Ilidaiwa Machi 16,2025 Matogoro akiwa eneo la Sinza alimshambulia Kimario kichwani kwa kutumia chuma, na kumsababishia madhara makubwa sehemu zake za kichwani. Pia, katika shtaka la tano washtakiwa wanatuhumiwa kumsababishia madhara makubwa Kimario kwa kumvuta nywele zake kwa kutumia nguvu. Matogoro anatuhumiwa bila uhalali wowote aliharibu laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina Magnificat Kimario. Katika shtaka la saba, Matogoro anatuhumiwa Machi 16,2025 akiwa eneo la Sinza bila kuwa na uhalali aliharibu simu moja yenye thamani ya Sh 700,000 mali ya Kimario. Shtaka la nane washtakiwa wanatuhumiwa kumtishia kumuua Kimario kwa kutumia kisu.  Hata hivyo washtakiwa wote wamekana kutenda makosa hayo na mpaka muda wa mahakama unaisha mshtakiwa Mary alikuwa hajafanikiwa kutimiza masharti ya dhamana huku wenzie wakiwa wamefanikiwa. Katika masharti hayo, mahakama imewataka washtakiwa kuwa na wadhamini wawili wenye vitambulisho vya NIDA pamoja na barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa. Kwa mujibu wa upande wa mashtaka upelelezi katika kesi bado unaendelea, na kesi imeahirishwa hadi Juni 13, 2025 itakapokuja  kwa ajili ya kutajwa.

Migogoro Ya Mashamba Sasa Basi, Binu Ni Hii Ambayo Wengi Wameikubali

Jina langu ni Nelson, mtoto wa mwisho wa mzee Nyaku kutokea Nakuru, katika umri wangu wa miaka 25 nimepitia mgogoro mkubwa ambayo siweza kuja kuusahau hata pale nitakapokuwa mzee, nao mgogoro wa ardhi baina yangu na kaka zangu. Katika familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano, tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati. Kipindi baba yetu, Mzee Nyaku anafariki, aliachia Wosia kuwa mimi ndio nitarithi eneo la shamba ambalo ipo nyumba yetu, pia nyumba itakuwa yangu kwa sababu mimi ni mtoto wa mwisho. Jambo hilo halikuwapenda kaka zangu, walisema Kwa vile mimi nilikuwa karibu sana na Baba ndio nilitumia fursa hiyo kuandika Wosia huo na sio Baba. Ni jambo lilinishangaza kwa maana sikuwahi kujua kama kuna siku Baba aliandika Wosia, na sijawahi kumshawishi kivyovyote kunipa mali hizo. Bali nachojua mtoto wa mwisho ndio hupewa hivyo, ukizingatia nilikuwa karibu sana na Baba kipindi cha mwisho cha uhai wake. Basi walienda kunifungulia kesi Mahakamani wakipinga mimi kuchukua mali hizo, kesi ilikuwa inasikilizwa na kuhairishwa kila mara kiasi kwamba nilianza kuchoka. Wakati kesi inaendelea, asubuhi moja niliamka na kukuta mazao yangu yote niliyopanda katika shamba lile yakiwa yamefekiwa chini, huku mifungo yangu ikiwa imepewa sumu na kufa. Sikujua ni nani amefanya hivyo ila nilihisi ni zile chuki za ndugu zangu, watu mbalimbali walikuja kunipa pole toka kijijini kwetu na vijiji vya jirani. Katika wale waliokuja kunipa pole kuna Mzee mmoja anaitwa Koi, huyu alikuwa rafiki mkubwa wa Baba na mara nyingi alikuwa anakuja nyumbani kwa ajili ya mazungumzo naye. Aliniita pembeni na kuniambia anajua fika ni ndugu waliofanya hivyo, akasema atanipa dawa ya kumaliza mgogoro huo ambao ulikuwa unaelekea kibaya. Aliniambia ikiwa nitazembea basi kitakachofuata ni wao kuja kuniua, nilishtuka sana kusikia vile nilimwambia naomba unisaidie. Basi akanipa namba hizi akaniambia ni za Kiwanga Doctors, nikampigia pale pale na kumueleza hali ilivyo. Kiwanga Doctors aliniambia ndani ya siku tatu hali itakuwa shwari, na kweli baada ya muda huo nilipokea simu kutoka wa watumishi wa Mahakama wakiniambia wale kaka zangu wameamua kuifuta ile kesi. Nilifurahi sana kusikia habari hiyo ambayo iliukosha moyo wangu vilivyo, sikumbuki kama kuna siku nimekuwa na furaha kama hiyo. Kesho yake wale kaka zangu walikuja nyumbani kuniomba msamaha kwa kuharibu mali zangu, ndipo Dada yangu mkubwa alipoingilia na kuwaambia wakitaka masamaha wangu walipe kwanza fidia ya mali zangu. Walikubali na wakaondoka kwenda kutafuta hizo fedha, baada ya wiki moja walirejea wakiwa na fedha taslimu na kunilipa. Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Madereva 800 Wapatiwa Mafunzo Kuelekea Msimu Wa Utaliii

Katika kuhakikisha msimu wa Utalii (high season) unaoanza hivi karibuni unakuwa katika hali ya amani, Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Arusha limewakutanisha zaidi ya madereva 800 wanaobeba watalii kwa ajili ya kuwapatia mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo pindi wanapotoa huduma hiyo ya usafiri. Akifungua mafunzo hayo leo Mkoani humo, Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama barabarani Nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP William Mkonda amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwakumbusha madereva hao sheria na kanuni mbalimbali za usalama barabarani pamoja na kujadiliana changamoto wanazokumbana nazo barabarani ili kuona namna bora ya kuzitatua. SACP Mkonda amebainisha kuwa Madereva wanaobeba watalii ni watu wa muhimu sana katika kuhakikisha usalama wa wageni kwani endapo wataendesha magari kwa kufuata sheria na kanuni za usalama barabarani itapelekea kuitangaza vyema Nchi yetu na hatimaye idadi ya watalii kuongezeka kwa wingi hapa nchini. Aidha, ametoa wito kwa madereva hao kuhakikisha wanatii na kufuata sheria za usalama barabarani kwa kukosoana, kuelimishana na kuonyana pindi wanapoendesha vyombo hivyo vya moto kwani itasababisha kupunguza au kumaliza ajali zisizokuwa na ulazima barabarani. Kwa upande wake Mwenyekiti wa Waendesha Watalii Nchini (TTGA) Bw. Lembrisi Moses amesema jumla ya madereva 800 wameshiriki katika mafunzo hayo ambapo ameeleza kuwa mafunzo hayo yamewasaidia kuwakumbusha wajibu wao wa kuzingatia sheria za usalama barabarani ikiwemo alama za barabarani, kuzingatia mwendo sahihi. Naye Bw. Usia Israel ambaye ni dereva amesema kupitia mafunzo hayo amekumbushwa namna ya kuwa na udereva wa kujihami pindi awapo barabarani ambapo inasaidia kupunguza kero au ajali za barabarani ambazo zinaepukika na kuwataka madereva wenzake kuwa na udereva wa kujihami pindi wawapo barabarani. Mafunzo hayo yamekuja ikiwa ni mkakati wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabarani katika kuyafikia makundi mbalimbali katika jamii kwa ajili ya kuwajengea uwezo kuhusiana na sheria mbalimbali za usalama barabarani pamoja na mifumo mipya ya Jeshi la Polisi katika kuwahudumia wananchi.

MUME WANGU ALINILAZA KITANDANI AKITAMKA JINA LA MPENZI WAKE WA ZAMANI—NILIVYOPAMBANA KUNUSURU NDOA YETU ISIVUNJIKE

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 31 May 2025

Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Waliomgombea Mwijaku Wafikishwa Kortini, Wasomewa Mashtaka Nane

Migogoro Ya Mashamba Sasa Basi, Binu Ni Hii Ambayo Wengi Wameikubali

Madereva 800 Wapatiwa Mafunzo Kuelekea Msimu Wa Utaliii

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Oparesheni ya TAWA Yaua Fisi 43 Itilima, Bariadi na Maswa

  • 10 Apr 2025
  • 11
© Image Copyrights Title

Bolt Yazindua Rasmi Huduma Zake Katika Mji wa Kahama

  • 10 Apr 2025
  • 10
© Image Copyrights Title

Shaka Ssali Kufanyiwa Heshima za Mwisho Leo Marekani

  • 10 Apr 2025
  • 10
© Image Copyrights Title

SIKU YA KUSHINDA MAMILIONI NDIO LEO….

  • 09 Apr 2025
  • 58
© Image Copyrights Title

TIMIZA NDOTO ZAKO ZA KUWA MILIONEA NA MERIDIANBET…

  • 09 Apr 2025
  • 14
© Image Copyrights Title

NANI KUKUPATIA MKWANJA MECHI ZA UEFA LEO….?

  • 09 Apr 2025
  • 41
© Image Copyrights Title

UMEWAHI KUUCHEZA MCHEZO HUU WA KASINO| CHINESE TIGER?…

  • 09 Apr 2025
  • 34
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Chris Brown ashitakiwa kwa kumshambulia mtu kwenye klabu ya Usiku

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 44
Read all News
© Image Copyrights Title

Chris Brown ashitakiwa kwa kumshambulia mtu kwenye klabu ya Usiku

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 44
© Image Copyrights Title

D Voice Atarajia Kuachia Ep yake Mpya

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 49
© Image Copyrights Title

Bobby Shmurda Asitisha Tour Yake, Auza Tiketi 10 Tu Kila Mji.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 38
© Image Copyrights Title

Wasanii Wanaowania Tuzo Za BET 2025.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 30
© Image Copyrights Title

Diamond Mfalme Wa Youtube Africa.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 45
© Image Copyrights Title

Rihanna Na Asap Rocky Watarajia Kupata Mtoto Wa 3.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 42
© Image Copyrights Title

Yammi Aacha Na Label Ya Nandy ‘The African Princess’.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 51
© Image Copyrights Title

Mtuhumiwa Aliyemuibia Kim Kardashian Afariki Dunia Kabla Ya Kesi Kuanza.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 33
© Image Copyrights Title

Mtuhumiwa Aliyemuibia Kim Kardashian Afariki Dunia Kabla Ya Kesi Kuanza.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 22
© Image Copyrights Title

Jux Ashinda Tuzo Ya Msanii Bora Afrika Mashariki Kwenye The Headies Nigeria.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 37

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

GATES OF OLYMPUS SASA NDANI YA MERIDIANBET!…

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 32
Read all News
© Image Copyrights Title

GATES OF OLYMPUS SASA NDANI YA MERIDIANBET!…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 32
© Image Copyrights Title

GATES OF OLYMPUS SASA NDANI YA MERIDIANBET!…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 32
© Image Copyrights Title

GATES OF OLYMPUS SASA NDANI YA MERIDIANBET!…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 31
© Image Copyrights Title

BENCHIKA AFICHUA UZEMBE WA SIMBA KUMKOSA CAMARA NA KUMLETA BABACAR SARR….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 39
© Image Copyrights Title

BENCHIKA AFICHUA UZEMBE WA SIMBA KUMKOSA CAMARA NA KUMLETA BABACAR SARR….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 24
© Image Copyrights Title

BENCHIKA AFICHUA UZEMBE WA SIMBA KUMKOSA CAMARA NA KUMLETA BABACAR SARR….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 18
© Image Copyrights Title

RASMII…DIARA AANZA KUWATIA TUMBO JOTO YANGA….MABOSI WAGAWANYIKA…ANATAKA KUSEPA..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 29
© Image Copyrights Title

RASMII…DIARA AANZA KUWATIA TUMBO JOTO YANGA….MABOSI WAGAWANYIKA…ANATAKA KUSEPA..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 25
© Image Copyrights Title

RASMII…DIARA AANZA KUWATIA TUMBO JOTO YANGA….MABOSI WAGAWANYIKA…ANATAKA KUSEPA..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 21
© Image Copyrights Title

KUMBE SIO UBINGWA TU…..KOCHA BERKANE KAONDOKA NA JINA LA STAA HUYU WA SIMBA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 13
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook