Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Ibada Ya Kuwekwa Wakfu Askofu Mteule Dkt. Daniel Mono

  • 44
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya kumweka wakfu na kumuingiza kazini Askofu Mteule Dkt. Daniel Henry Mono wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mwanga.

Ibada hiyo imefanyika katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.



Prev Post Humphrey Polepole Ajiuzulu Ubalozi Ampongeza Rais Samia Kwa Fursa
Next Post Benk Ya NMB Imejizatiti Kutoa Huduma Bora Kwa Walimu
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook