TAARIFA KAMILI YA PROMOSHENI – GATES OF OLIMPIA SASA NDANI YA MERIDIANBET..

Ingia kwenye Dunia ya Miungu, Ushindi, na Mamilioni Kupitia GATES OF OLIMPIA – Mchezo Mpya Kutoka Expanse Studios! Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse Studios, inakuletea mchezo mpya wa sloti wa kusisimua – GATES OF OLIMPIA. Huu si mchezo wa kawaida – ni mlango wa kweli wa neema na utajiri kutoka kwa miungu wa Kigiriki! Ukiwa na vizidisho vikubwa, bonasi kabambe, na zawadi za kuvutia, huu ni wakati wako wa kung’aa. GATES OF OLIMPIA – ZAWADI ZA RADI KILA MZUNGUKO! Vizidisho Hadi Mara 500! – Ushindi unaweza kuongezeka hadi mara 500 ya dau lako. Ndiyo, mara 500! Skrini ya Alama 6×5 – Ukipata alama 8 au zaidi zinazofanana popote kwenye skrini, unashinda papo hapo – si lazima ziwe kwenye mstari. Ushindi wa Mfululizo (Cascade Wins) – Kila alama inayoshinda inatoweka na nafasi mpya kujaza nafasi – na huenda ushindi ukaendelea mara kadhaa kwa mzunguko mmoja. Mizunguko ya Bure (Free Spins) – Kusanya alama za scatter uanze mizunguko ya bure yenye vizidisho vya juu – vizidisho vyote vinajumlishwa kwa malipo makubwa Zaidi. Nunua Bonus Moja kwa Moja – Huna haja ya kusubiri! Kama unataka kwenda moja kwa moja kwenye bonasi, nenda nayo sasa hivi. Jackpot Inayoendelea + Mashindano ya Kipekee – Huu ni mchezo wenye kila kitu: ushindi wa kawaida, zawadi za kila siku, na nafasi ya kuibuka mshindi mkubwa kwenye mashindano ya Meridianbet! OFA MAALUM YA UZINDUZI – CHEZA SASA NA USHINDE ZAIDI! Bonasi hadi TSH 50,000 kwa wachezaji wapya wanaocheza Gates of Olimpia. Free Spins za kila wiki kwa wachezaji wanaongoza. Zawadi za mashindano zikiwemo simu, muda wa maongezi, jezi, na pesa taslimu! KWA NINI UCHEZE GATES OF OLIMPIA KWENYE MERIDIANBET? Jukwaa salama, la haraka, na la kuaminika Malipo ya papo hapo – bila kucheleweshwa Michezo mingi ya ziada – sloti, kasino live, aviator, beti za mpira Huduma kwa mteja masaa 24/7 App nyepesi na rahisi kutumia – cheza popote ulipo!   Usikubali ushindi huu upite bila wewe kujaribu. Gates of Olimpia ni zaidi ya burudani – ni fursa ya kubadilisha maisha yako. Tembelea www.meridianbet.co.tz au pakua App ya Meridianbet sasa – cheza na ushinde kwa kasi ya radi. MERIDIANBET – BURUDANI HALISI, USHINDI HALISI! NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz The post TAARIFA KAMILI YA PROMOSHENI – GATES OF OLIMPIA SASA NDANI YA MERIDIANBET.. appeared first on Soka La Bongo.

MERIDIANBET YAENDELEZA UONGOZI WA KIJUMUISHI NA MAENDELEO YENYE USAWA KATIKA MASOKO YAKE.

Kampuni ya Kimataifa Yaonesha Mafanikio Halisi ya Kuweka Utofauti na Usawa Katika Moyo wa Biashara Meridianbet, moja kati ya kampuni zinazoongoza sekta ya michezo ya kubahatisha duniani na mshiriki wa kikamilifu wa Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), imejidhihirisha kama mfano wa kuigwa katika kujenga mazingira ya kazi yenye misingi ya haki, usawa na ujumuishaji kwa wote — bila kubagua. Kwa kutekeleza sera imara za DEI (Diversity, Equity, and Inclusion), Meridianbet inaendelea kuthibitisha kuwa kampuni za kisasa haziwezi kufanikiwa bila kujali haki za binadamu, nafasi sawa kwa wote, na uwakilishi unaojumuisha makundi mbalimbali ya jamii. Nguvu ya Takwimu: Utofauti Unaotegemea Vitendo, Siyo Maneno Katika mwaka wa 2024 pekee, Meridianbet imeonyesha mafanikio yafuatayo: 63% ya nafasi za uongozi zinashikiliwa na wanawake 0% ya tofauti ya mishahara kati ya wanaume na wanawake 41 ajira kwa watu wenye ulemavu, kutoka 34 mwaka 2022 Asilimia 70 ya wafanyakazi Afrika, wanashiriki katika programu za ujumuishaji wa DEI Haya si mafanikio ya bahati, ni matokeo ya mikakati ya muda mrefu ya kujenga nafasi sawa, bila upendeleo wa kijinsia, kijamii, wala kiafya. Sera Zenye Athari Kila Ngazi Uongozi wa Meridianbet unaamini kuwa uwakilishi si takwimu pekee, bali ni kiini cha utamaduni wa kazi. Kampuni imeunda mazingira ambayo kila mfanyakazi anathaminiwa kwa uwezo wake, na kila sauti inasikika. “Tunaamini katika biashara jumuishi ambapo kila mtu ana nafasi ya kuchangia, kuongoza, na kufanikiwa,” alisema mmoja wa wakurugenzi wa Meridianbet. Meridian Foundation: Kujenga Jamii Zenye Haki Kupitia Meridian Foundation, kampuni inashirikiana na jamii katika miradi ya kijamii ikiwemo elimu kwa makundi maalum, kampeni za kuvunja miiko na kupambana na ubaguzi, na kuwawezesha watu waliopo pembezoni mwa jamii. Kampeni hizi zimeendelea kutekelezwa ndani na nje ya siku za kimataifa kama #ZeroDiscriminationDay. Kwa Nini Haya Yanajalisha? Katika dunia inayoelekea kwenye biashara zinazowajibika kijamii, Meridianbet inaweka mfano bora wa kuigwa kwa kuunganisha mafanikio ya kibiashara na maendeleo ya kijamii. Haya yote yanawekwa ndani ya mfumo wa ESG (Environment, Social & Governance) kama sehemu ya kujenga kampuni yenye ushawishi mzuri kwa kizazi cha sasa na kijacho. NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz The post MERIDIANBET YAENDELEZA UONGOZI WA KIJUMUISHI NA MAENDELEO YENYE USAWA KATIKA MASOKO YAKE. appeared first on Soka La Bongo.

NANI KUIBUKA KIDEDEA, PSG VS INTER MILAN?…ODDS ZA USHINDI ZIKO NDANI YA HAPA…

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Ni pale Ujerumani katika dimba la Allianz Arena ambapo Meridianbet na Dunia nzima wanaenda kushuhudia Fainali kali ya Ligi ya mabingaw kati ya Psg dhidi ya Inter Milan. PSG kutoka kule Ufaransa ndio mabingwa wa LIGUE 1 lakini pia timu hiyo imeweza kuchukua kombe la Ufaransa hivyo malengo yao hadi sasa ni kuchukua na UEFA ili waweze kukamilisha TREBLE. Mechi ya fainali ya UEFA Psg vs Inter Milan kukupatia maokoto leo. Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao. Kwa upande wa Inter Milan wao msimu huu walikuwa na nafasi kubwa sana ya kuchukua Scudetto lakini walishindwa baada ya kuzidiwa pointi 1 pekee na Napoli ambayo ndiye bingwa wa SERIE A, lakini pia ikumbukwe kuwa vijana hawa wa Simone Inzaghi pia walishindwa kuchukua Coppa Italia baada ya kupigwa na watani wao AC Milan, hivyo hili ndilo kombe pekee ambalo wanalitazama kwa hali na mali. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Psg kwa ODDS 2.27 kwa 3.50. Lakini pia mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili na ubashiri mtanange huu. PSG mara ya mwisho kucheza Fainali ya Ligi ya mabingwa ilikuwa ni 2020 ambapo walicheza dhidi ya Bayern na wakapoteza kwa bao 1-0 kule Ureno, bao la Kingsley Koman dakika ya 59 licha kupata nafasi na kushinda kuzitumia. Kipindi hicho Paris wlaikuwa chini ya kocha mkuu Thomas Tuchel, lakini kwasasa wapo chini ya kocha mkuu Luis Enrique ambapo pia klabuni hapo kuna ingizo la wachezaji wapya akiwemo Ousman Dembele, Vitinha, Bradley, Barcola, Fabian na wengine wengi. Wakati kwa Inter wao mara ya mwisho kucheza fainali ya UEFA ilikuwa 2023 ambao nao pia walipoteza kwa 1-0 dhidi ya Manchester City pale Uturuki bao lililofungwa na Rodri dakika ya 68  pekee. Inter wameshinda taji la Uefa mara 3 huku endpao kesho wakichukua itakuwa ni mara ya 4. Kikosi hiki cha Inter Milan wachezaji wengi ambao walicheza fainali ya mwisho wapo, hivyo inakuwa rahisi kwao kutambua nini wanataka kesho. PSG hawajawahi kuchukua kombe hili kabisa tangu lianzishwe huku kesho ndio nafasi yao pekee ya kulichukua mbele ya vijana wa Inzaghi. Odds za kuvutia utazipata Meridianbet pekee leo. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi mbili hazijawahi kukutana kwenye mashindano makubwa, bali wamekutana kwenye mechi za kirafiki tuuh huku Inter akishinda mechi 1, PSG akishinda 2 na sare moja pekee. Je ni PSG au Inter Milan kuondoka na ushindi pale Allianz Arena kesho? The post NANI KUIBUKA KIDEDEA, PSG VS INTER MILAN?…ODDS ZA USHINDI ZIKO NDANI YA HAPA… appeared first on Soka La Bongo.

MERIDIANBET YATOA VIFAA VYA AFYA HOSPITALI YA SINZA….

Dar es salaam, Meridianbet leo hii tarehe 31 Mei wamefika katika hospitali ya Palestina ambayo inapatikana Sinza ambapo kwaajili ya kutoa msaada wa vifaa vya afya kwa kinamama ambao wanajifungua. Msaada huo umejumuisha vifaa mbalimbali vinavyotumika katika huduma za afya kwa akina mama wajawazito na wanaojifungua, ikiwa ni sehemu ya dhamira ya Meridianbet kuchangia kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto nchini. Katika zoezi hilo lililofanyika leo, Meridianbet ilikabidhi pampers, mashuka safi, na sanitizers kwa akinamama wapya waliolazwa au waliokuwa wakihudumiwa hospitalini hapo. Lengo kuu la msaada huo ni kuwapa akina mama hao unafuu wa maisha baada ya kujifungua pamoja na kuhakikisha wanazingatia usafi na afya kwa mama na mtoto. Akizungumza wakati wa tukio hilo,Mhariri wa Meridianbet Nancy Ingram alisema kuwa, “Tunaamini kuwa afya ya mama ni msingi wa jamii imara. Kupitia msaada huu, tunalenga kuunga mkono juhudi za serikali na taasisi za afya katika kuhakikisha kila mama anapata huduma bora na salama wakati wa ujauzito na kujifungua.” Mzigo mkubwa unapatikana ndani ya Meridianbet leo hii mechi ya fainali ya Uefa. Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao. Kwa upande wa hospitali hiyo baada ya kupokea msaada wa vifaa hivyo kutoka kwa Meridianbet walisema kuwa, “Msaada huu umetufariji sana. Vifaa hivi ni muhimu sana, hasa kwa wale wakina mama wanaokosa baadhi ya mahitaji baada ya kujifungua. Tunawashukuru Meridianbet kwa moyo wa upendo na kujitolea.” Meridianbet imeendelea kuwekeza kwenye miradi ya kijamii katika sekta ya afya, elimu, michezo, na maendeleo ya vijana. Tukio hili ni mwendelezo wa jitihada hizo za kuleta mabadiliko chanya kwa Watanzania. Lakini vilevile kama inavyojulikana kuwa kampuni hii kubwa ya ubashiri inajihusisha na michezo ya bahati nasibu, leo hii kuna fainali ya Ligi ya mabingwa ulaya kati ya PSG vs Inter Milan hivyo ingia kwenye akaunti yako uweze kubashiri mtanange huu. Meridianbet wao wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.27 kwa 3.50. Je wewe leo hii unampa nani kuondoka na ushindi? The post MERIDIANBET YATOA VIFAA VYA AFYA HOSPITALI YA SINZA…. appeared first on Soka La Bongo.

MAGAZETI ya Leo Jumapili 01 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 01 June 2025 MAGAZETI ya Leo Jumapili 01 June 2025 Usaili wa madereva 800 waliotuma maombi ya kazi katika Kampuni ya Usafirishaji ya Serikali ya Qatar (Mowasalat), umekamilika rasmi Mei 31, 2025, jijini Dar es Salaam, baada ya kufanyika kwa siku tano mfululizo katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Usaili huo ulikuwa sehemu ya utekelezaji wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Qatar katika sekta ya ajira, ukiwalenga Watanzania waliopo tayari kufanya kazi ya udereva nchini humo. Akizungumza wakati wa kufunga zoezi hilo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali za kufungua fursa za ajira kwa Watanzania nje ya nchi. “Kampuni ya Mowasalat imeonyesha imani kubwa kwa vijana wetu. Ushirikiano huu una manufaa makubwa kwa Taifa letu, si tu kwa kupunguza tatizo la ajira, bali pia kwa kuongeza mapato ya fedha za kigeni kupitia Watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi,” amesema Ridhiwan. Mwakilishi wa Mowasalat, Khalid Abdulhameed Al Reyahi amesema Qatar inakabiliwa na upungufu wa madereva wa mabasi na malori, hivyo Tanzania imeonekana kuwa miongoni mwa nchi zinazoweza kusaidia kutokana na kuwa na nguvu kazi yenye nidhamu na maadili ya kazi.

TAARIFA KAMILI YA PROMOSHENI – GATES OF OLIMPIA SASA NDANI YA MERIDIANBET..

MERIDIANBET YAENDELEZA UONGOZI WA KIJUMUISHI NA MAENDELEO YENYE USAWA KATIKA MASOKO YAKE.

NANI KUIBUKA KIDEDEA, PSG VS INTER MILAN?…ODDS ZA USHINDI ZIKO NDANI YA HAPA…

MERIDIANBET YATOA VIFAA VYA AFYA HOSPITALI YA SINZA….

MAGAZETI ya Leo Jumapili 01 June 2025

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Oparesheni ya TAWA Yaua Fisi 43 Itilima, Bariadi na Maswa

  • 10 Apr 2025
  • 12
© Image Copyrights Title

Bolt Yazindua Rasmi Huduma Zake Katika Mji wa Kahama

  • 10 Apr 2025
  • 10
© Image Copyrights Title

Shaka Ssali Kufanyiwa Heshima za Mwisho Leo Marekani

  • 10 Apr 2025
  • 10
© Image Copyrights Title

SIKU YA KUSHINDA MAMILIONI NDIO LEO….

  • 09 Apr 2025
  • 60
© Image Copyrights Title

TIMIZA NDOTO ZAKO ZA KUWA MILIONEA NA MERIDIANBET…

  • 09 Apr 2025
  • 14
© Image Copyrights Title

NANI KUKUPATIA MKWANJA MECHI ZA UEFA LEO….?

  • 09 Apr 2025
  • 42
© Image Copyrights Title

UMEWAHI KUUCHEZA MCHEZO HUU WA KASINO| CHINESE TIGER?…

  • 09 Apr 2025
  • 34
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Chris Brown ashitakiwa kwa kumshambulia mtu kwenye klabu ya Usiku

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 44
Read all News
© Image Copyrights Title

Chris Brown ashitakiwa kwa kumshambulia mtu kwenye klabu ya Usiku

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 44
© Image Copyrights Title

D Voice Atarajia Kuachia Ep yake Mpya

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 50
© Image Copyrights Title

Bobby Shmurda Asitisha Tour Yake, Auza Tiketi 10 Tu Kila Mji.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 38
© Image Copyrights Title

Wasanii Wanaowania Tuzo Za BET 2025.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 30
© Image Copyrights Title

Diamond Mfalme Wa Youtube Africa.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 45
© Image Copyrights Title

Rihanna Na Asap Rocky Watarajia Kupata Mtoto Wa 3.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 42
© Image Copyrights Title

Yammi Aacha Na Label Ya Nandy ‘The African Princess’.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 51
© Image Copyrights Title

Mtuhumiwa Aliyemuibia Kim Kardashian Afariki Dunia Kabla Ya Kesi Kuanza.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 33
© Image Copyrights Title

Mtuhumiwa Aliyemuibia Kim Kardashian Afariki Dunia Kabla Ya Kesi Kuanza.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 22
© Image Copyrights Title

Jux Ashinda Tuzo Ya Msanii Bora Afrika Mashariki Kwenye The Headies Nigeria.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 37

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

TAARIFA KAMILI YA PROMOSHENI – GATES OF OLIMPIA SASA NDANI YA MERIDIANBET..

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 26
Read all News
© Image Copyrights Title

TAARIFA KAMILI YA PROMOSHENI – GATES OF OLIMPIA SASA NDANI YA MERIDIANBET..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 26
© Image Copyrights Title

MERIDIANBET YAENDELEZA UONGOZI WA KIJUMUISHI NA MAENDELEO YENYE USAWA KATIKA MASOKO YAKE.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 19
© Image Copyrights Title

NANI KUIBUKA KIDEDEA, PSG VS INTER MILAN?…ODDS ZA USHINDI ZIKO NDANI YA HAPA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 20
© Image Copyrights Title

MERIDIANBET YATOA VIFAA VYA AFYA HOSPITALI YA SINZA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 32
© Image Copyrights Title

BETI MECHI YA FAINALI REAL BETIS VS CHELSEA NA MERIDINBET LEO….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 25
© Image Copyrights Title

BAADA YA KUKOSA UBINGWA WA CAF….MANULA AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA MALENGO…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 41
© Image Copyrights Title

28 WAITWA TAIFA STARS….SAMATTA AOMBA POOO….MZINZE, MUDATHIR MHHH…..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 30
© Image Copyrights Title

WANAOTAKA KUTUSUA KIMATAIFA….HUU HAPA USHAURI WA MSUVA KWA MASTAA WA KIBONGO…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 23
© Image Copyrights Title

BAADA YA KUSHINDWA KUBEBA NDOO CAF….JULIO ‘AWANYOSHEA KIDOLE’ MABOSI SIMBA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 31
© Image Copyrights Title

KISA FEI TOTO…..MO DEWJI, GSM KUTUNISHANA MSULI WA PESA…AZAM WAMPA DAU NONO ZAIDI…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 41
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook