Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI….JIPYA JINGINE LA FADLU HILI HAPA…BADO HIVII 🤌 TU YANI…

KWA mashabiki huko mitaani tambo ni nyingi, lakini katika kikosi cha Simba, mambo yanaendelea kusukwa taratibu, kwani timu iko kambini kujiwinda na Simba Day kesho, huku uongozi mpya nao ukiweka mambo sawa kwa ajili ya kujipanga na msimu mpya wa mashindano. Lakini, katikati ya yote hayo, kocha wao, Fadlu Davids anaendelea kutesa tu msimbazi akifikisha siku 427 tangu alipopewa mikoba ya kuinoa timu hiyo na habari zikufike kwa sasa anafukuzia rekodi ya Patrick Aussems ya kudumu muda mrefu zaidi klabuni hapo katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Fadlu, raia wa Afrika Kusini, alichukua mikoba Julai 5, 2024, akirithi nafasi iliyoachwa na Abdelhak Benchikha aliyedumu siku 149 (sawa na miezi mitano) kabla ya kuachana na Wekundu wa Msimbazi na tangu wakati huo kocha huyo mwenye mwaka mmoja na miezi miwili Simba, ameonyesha anaweza kuifikisha timu hiyo katika nchi ya ahadi kiasi cha kuendelea kuaminiwa kwa ajili ya msimu mwingine kulingana na kile alichofanya wakati ambao kikosi hicho kinajenga timu upya. Licha ya hilo, Fadlu aliipeleka Simba fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita, ingawa alikumbana na maumivu ya kupoteza mbele ya RS Berkane kutoka Morocco kwa mabao 3-1. Katika Ligi Kuu Bara alimaliza nafasi ya pili nyuma ya Yanga, jambo lililompa changamoto mpya ya kurejea kwa nguvu zaidi msimu huu. Katika miaka 10, Aussems ndiye aliyekaa muda mrefu zaidi katika kikosi hicho (siku 499) sawa na mwaka mmoja na miezi minne na nusu na kocha huyo Mbelgiji aliiongoza Simba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19 na kufika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kabla ya kung’olewa na TP Mazembe kwa mabao 4-1. Baada ya msimu huo wenye mafanikio, Aussems alipewa mkataba mpya wa mwaka mmoja msimu wa 2019/20, ikiwa ni ishara ya uongozi wa Simba kuthamini mchango wake. Hata hivyo, Novemba 2019, klabu hiyo ilithibitisha kuachana naye kwa makubaliano ya pande mbili hatua iliyoashiria mwanzo wa zama mpya za kusaka kocha atakayejenga uimara wa timu wa muda mrefu. Katika historia ya hivi karibuni ya Simba kumekuwa na mzunguko mkubwa wa makocha, lakini kwa sasa huenda Fadlu akafikia au hata kuvuka rekodi ya Aussems endapo ataendelea kufanya vizuri. Kwa jumla, kocha aliyeweka rekodi kubwa zaidi ya kudumu Simba tangu 2000 ni Patrick Phiri. Kocha huyo raia wa Zambia aliiongoza Simba kuanzia 2009 hadi 2011 akidumu kwa siku 830 (sawa na miaka miwili na miezi mitatu) – rekodi ambayo hadi sasa haijavunjwa. Phiri anabaki kuwa mfano wa kocha aliyepewa muda wa kutosha kujenga kikosi cha ushindani katika klabu hiyo. WASIKIE WENYEWE Akizungumzia suala la makocha kudumu katika timu, kocha wa zamani wa Gwambina na Mtibwa Sugar, Mohamed Badru alisema ni vigumu kwa kazi zao kuwa na uhakika wa kukaa sehemu moja kwa muda mrefu kwa sababu lolote linaweza kutokea, lakini kwa Fadlu ni muhimu aendeleze kile ambacho amefanya katika msimu wake wa kwanza. “Amefanya kazi nzuri pamoja na kwamba ulikuwa msimu wake wa kwanza. Simba ni timu ya mataji, kwa hiyo ni muhimu kuhakikisha anawapa ubingwa wowote msimu huu, hilo linaweza kumfanya kuendelea kusalia zaidi ikiwemo kuwafunga watani zao (Yanga) ambao wamekuwa wakiwasumbua,” alisema. Kwa upande wake, Credo Mwaipopo ambaye ni mchezaji wa zamani wa Yanga, alisema: “Hakuna kitu kingine ambacho kinaweza kumfanya kocha akasalia kwenye timu kwa muda mrefu zaidi ya matokeo. “Kwa wenzetu Ulaya ni tofauti wanaweza kumpa muda kocha kujenga timu kabla ya kumhukumu, lakini kwetu lolote linaweza kutokea muda wowote.” Credit:- MwanaSpoti The post KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI….JIPYA JINGINE LA FADLU HILI HAPA…BADO HIVII 🤌 TU YANI… appeared first on Soka La Bongo.

Alipambana sana kupata mapenzi ya huyu binti bila mafanikio ila leo hii wapo pamoja

Yona alikuwa kijana mnyenyekevu na mwenye heshima kubwa katika kijiji chao kilichopo Kagera. Alikuwa mchapakazi, akijishughulisha na biashara ndogo ndogo za kuuza vifaa vya nyumbani sokoni. Kwa umbo na tabia, Yona hakuwa mtu wa mabishano au kelele nyingi. Ndoto yake kubwa ilikuwa moja tu: kupata mwenzi wa maisha ambaye angempenda kwa dhati na kushirikiana naye katika safari ya maisha. Katika siku zake za kawaida sokoni, alikutana na binti mrembo aliyeitwa Anna. Anna alikuwa na tabasamu lililong’aa na sura ya kuvutia kiasi kwamba kila kijana kijijini alitamani kumkaribia. Kwa Yona, haikuwa tu urembo wa sura bali pia moyo wake ulihisi kuwa huyu ndiye mwanamke aliyekuwa ameumbwa kwa ajili yake. Tangu siku hiyo ya kwanza, moyo wa Yona ukamwambia: “Anna ndiye mke wangu wa baadaye.”SOMA ZAIDI

GUMZO LA JIJI. KWA SASA NI AMARULA SUNDOWN SESSIONS

Dar es Salaam bado inazungumza kuhusu tukio lililotikisa mitaa ya kifahari – Amarula Sundown Sessions, lililofanyika Jumapili, 7 Septemba 2025. Ni wachache tu waliopata nafasi ya kuhudhuria, kwani tukio hili lilikuwa laini ya mwaliko maalum. Wageni waliokuwa ndani walihusisha majina makubwa ya burudani, influencers wenye nguvu mitandaoni na mastaa wa jiji waliokuja kushuhudia namna Amarula inavyoweza kugeuza jioni ya kawaida kuwa kumbukumbu isiyosahaulika. Mandhari ya jioni ilitawaliwa na muziki wa hali ya juu, mapambo ya kiubunifu na vinywaji vya Amarula vilivyochanganywa kitaalamu. Kila kipengele kilionyesha ubora wa chapa hii – chaguo la watu wa hadhi, ladha ya premium na urithi wa Afrika. Kwa waliohudhuria, ilikuwa ni nafasi ya kipekee kushiriki katika tukio ambalo halitokani na sherehe za kawaida, bali ni sehemu ya urithi wa Amarula kama chapa ya kimataifa yenye mizizi imara barani Afrika. Kwa wale waliokosa, gumzo linaendelea: Amarula Sundown Sessions imeacha alama kama tukio lililoweka viwango vipya vya burudani jijini Dar.

NAFASI Za Kazi Azam TV

NAFASI Za Kazi Azam TV NAFASI Za Kazi Azam TV Azam TV is offering an exciting career opportunity for a LED Perimeter Technician. This role is perfect for individuals with strong technical skills, hands-on experience in LED systems, and the ability to work under pressure to ensure flawless performance during live events. Job Purpose The LED Perimeter Technician will be responsible for ensuring smooth operation, troubleshooting, preventive maintenance, and timely replacement of LED perimeter boards and related components. The goal is to guarantee uninterrupted display quality during live productions, sports events, and commercial broadcasts. Key Responsibilities 1.Operation & Monitoring Monitor LED perimeter screens during events for uninterrupted performance. Verify input signals from media servers, video processors, and related devices. Ensure proper synchronization between sending/receiving cards, media converters, and control systems 2.Troubleshooting & Repairs Diagnose and resolve faults in LED modules, power/data cables, and sending/receiving cards. Perform on-site diagnostics for issues like pixel drops, mismatches, or signal loss. Replace defective components promptly with minimal downtime. 3. Routine & Preventive Maintenance Conduct inspections of LED panels, cabling, and power systems. Implement cooling systems and cleaning measures to prevent faults. Keep accurate reports on maintenance and repairs. 4.Upgrades & Replacement Advisory Recommend replacements for aging LED modules and components. Advise on spare parts management and inventory. Support software updates, firmware upgrades, and calibration of LED boards. 5. Technical Coordination Work closely with engineers, IT, and operations teams. Ensure seamless integration of LED systems with video processors and broadcast feeds. Assist in setup, dismantling, and reconfiguration of LED perimeter systems. 6.Compliance & Safety Follow safety standards for handling electronic/electrical equipment. Ensure compliance with venue and broadcast operational requirements. Key Skills & Competencies Strong knowledge of LED display systems and sending/receiving cards (e.g., NovaStar, ColorLight, Linsn). Hands-on experience with video processors, media converters, and signal distribution. Ability to troubleshoot and resolve hardware/software issues quickly. Familiarity with Ethernet, fiber optics, SDI/HDMI/DVI connections. Good understanding of preventive maintenance for electronic equipment. Strong reporting and communication skills. Flexible with working hours, including nights, weekends, and event days. Qualifications & Experience Diploma/Degree in Electronics, Electrical Engineering, Broadcast Technology, or related fields. Minimum 2–3 years’ experience working with LED display systems (preferably in live broadcast or sports environments). Experience with LED perimeter advertising systems will be an added advantage. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Azam TV. Join Azam TV today and be part of a dynamic team ensuring the best in live broadcast technology! Interested candidates should submit their CV to: recruitment@azam-media.com, Ensure you indicate the job title in the subject line of your email Deadline is 6th September 2025.

KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI….JIPYA JINGINE LA FADLU HILI HAPA…BADO HIVII 🤌 TU YANI…

Alipambana sana kupata mapenzi ya huyu binti bila mafanikio ila leo hii wapo pamoja

GUMZO LA JIJI. KWA SASA NI AMARULA SUNDOWN SESSIONS

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 09, 2025

NAFASI Za Kazi Azam TV

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

TRA yawataka mawinga kulipa kodi

  • 09 Aug 2025
  • 171
© Image Copyrights Title

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 8, 2025

  • 09 Aug 2025
  • 150
© Image Copyrights Title

Mshambuliaji Habib Kyombo Ajiunga na Mbeya City

  • 09 Aug 2025
  • 119
© Image Copyrights Title

NAFASI YA KUSHINDA UNAYO MERIDIANBET LEO…

  • 08 Aug 2025
  • 138
© Image Copyrights Title

Rais Samia Kuchukua Fomu ya Urais Kesho

  • 08 Aug 2025
  • 84
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

GUMZO LA JIJI. KWA SASA NI AMARULA SUNDOWN SESSIONS

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 13
Read all News
© Image Copyrights Title

GUMZO LA JIJI. KWA SASA NI AMARULA SUNDOWN SESSIONS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 13
© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 33
© Image Copyrights Title

WAZIRI DKT. GWAJIMA AMWAKILISHA SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AKSON KWENYE HAFLA YA MISS UNIVERSE TANZANIA, 2025,

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 50
© Image Copyrights Title

WAZIRI MWITA AWATAKA WANAMITINDO KUIWAKILISHA VEMA NCHI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 94
© Image Copyrights Title

“KAMA WAO” YAINGIA MTAANI! MUGGA MO NA BANDO MC WAPIGA KAZI SAFI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 183
© Image Copyrights Title

ADONIJAH OWIRIWA ,  MTAYARISHAJI MKUU WA FESTAC ’77, ANASEMA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 71
© Image Copyrights Title

BASATA YA WAJENGEA UELEWA WA MIFUMO KUSOMANA MAAFIA UTAMADUNI NA BIASHARA MARA 

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 68
© Image Copyrights Title

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 65
© Image Copyrights Title

CDQ HATIMAYE AMEZINDUA VISUALIZER YA WIMBO MAARUFU “SUWE”

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 72
© Image Copyrights Title

MTANZANIA MWANAMUZIKI KAMANDA RAS MAKUNJA KUTUNIKIWA TUZO YA “Ambassodor of African Culture” NCHINI UJERUMANI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 75

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI….JIPYA JINGINE LA FADLU HILI HAPA…BADO HIVII 🤌 TU YANI…

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 2
Read all News
© Image Copyrights Title

KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI….JIPYA JINGINE LA FADLU HILI HAPA…BADO HIVII 🤌 TU YANI…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 2
© Image Copyrights Title

DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 58
© Image Copyrights Title

YANGA WAIPIGA SIMBA BAO ‘ISHU’ YA UWANJA….ISHU NZIMA IKO HIVI….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 45
© Image Copyrights Title

NI ZAIDI YA NOMAA😎👌🔥…YANGA WATIA MEZANI BIL 33 KUIFUNGA SIMBA …

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 45
© Image Copyrights Title

CHUKUA HIYOOOO….YANGA WAIACHA MBALI AL AHLY YA MISRI….UKITAKA KUINUNUA JIPANGE…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 46
© Image Copyrights Title

KISA KIPA NA BEKI MPYA…FADLU AWATEGA MASTAA SIMBA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 53
© Image Copyrights Title

SIMBA MPYA HII HAPA….MO DEWJI AJIWEKA KANDO…TRY AGAIN APIGWA CHINI…MAGORI, BARBARA WAULA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 73
© Image Copyrights Title

TIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP, KUANZA SEPTEMBA 2

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 36
© Image Copyrights Title

MWISHOOO….AZAM WAGONGELEA MSUMARI KAULI YA SIMBA KWA FEI TOTO….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 34
© Image Copyrights Title

KANUNI MPYA TFF….SIMBA, YANGA KUCHEZESHWA NA REFA KUTOKA NNJE…MAPRO WOTE RUKSA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 32
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook