
Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni za kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo kwa muhula wa pili, akiwaacha mbali wapinzani wake.
Hizi ni nondo alizokuwa akizishusha kwa wajumbe kuhusu vipaumbele vya Buchosa mpya endapo akipitishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba.
Video kamili ipo Youtube, Global TV!
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!