Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kesi ya kiongozi wa CHADEMA Tundu Lissu kusikilizwa kesho Jumanne. Katika Dira ya Dunia TV

  • 6
Scroll Down To Discover

Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho saa nne asubuhi. Mapema hii leo Lissu alifika katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es salaam kwa mara ya kwanza kwa ajili ya usikilizwaji wa awali wa kesi ya uhaini inayomkabili. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Mgombea mwenza wa CCM, Dkt. Nchimbi, apiga kambi Kagera kusaka kura za kishindo
Next Post Dkt. Nchimbi Awahutubia Wananchi wa Jimbo la Kwela, Sumbawanga Vijijini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook