Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Israel yashambulia uongozi wa Hamas Doha, Qatar. Katika Dira ya Dunia TV

Israel imetekeleza shambulizi katika mji mkuu wa Qatar, Doha, ikilenga viongozi wakuu wa Hamas. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema shambulio hilo lilikuwa la kujibu uvamizi wa Oktoba 7 mwaka 2023 wa kundi la Hamas. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw

USUSI WATAJWA KAMA FURSA YA AJIRA KWA VIJANA

Na Meleka Kulwa- Dodoma KATIKA juhudi za kupanua wigo wa ajira kwa vijana nchini, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema kazi ya ususi inapaswa kutambuliwa kama ajira rasmi na yenye mchango mkubwa katika kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla. Akizungumza jijini Dodoma katika uzinduzi wa Siku ya Wasusi, Waziri Mavunde alisema ususi ni kazi halali inayoweza kuwatoa vijana, wa kike na wa kiume, kutoka kwenye utegemezi na kuwasaidia kujitegemea kiuchumi. “Kwa mujibu wa sera ya ajira nchini, kazi yoyote halali inayomuingizia mtu kipato ni ajira. Ususi umeajiri maelfu ya vijana nchini na unapaswa kuungwa mkono, kuboreshwa na kupewa heshima inayostahili,” alisema. Waziri huyo aliongeza kuwa serikali kupitia Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) imeanza kutoa mafunzo mafupi ya ususi ili kusaidia vijana waliokuwa wakijifunza kienyeji waweze kupata maarifa ya kitaalamu na kujiinua zaidi kiuchumi. Amesema ipo haja ya kuingiza sanaa ya ususi katika mitaala rasmi ya elimu kuanzia ngazi za chini, ili wanafunzi waweze kuhitimu wakiwa na ujuzi wa kujitegemea, na kusaidia kupunguza tatizo la ajira nchini. Aidha, alitoa wito kwa jamii kuacha kuwahukumu vijana wa kiume wanaojihusisha na kazi hiyo, akieleza kuwa hakuna kazi ya aibu ilimradi ni halali na inampatia mhusika kipato. “Nimekutana na vijana wengi wa kiume wanaofanya kazi ya ususi na wanafanya vizuri. Tatizo ni mtazamo hasi wa jamii. Tuwape nafasi na tuwaunge mkono,” alisema. Katika uzinduzi huo uliofanyika kwa mara ya kwanza jijini Dodoma, wasusi kutoka mikoa mbalimbali walikusanyika kwa lengo la kushirikishana uzoefu, kujenga mtandao wa pamoja, na kuifikia serikali ili waweze kupata mikopo na fursa za uwezeshaji. Mkurugenzi wa Chido Point, Maria Mwampanga, ambaye ndiye aliyeandaa siku hiyo ya wasusi, alisema bado kuna uhitaji mkubwa wa kuwaunganisha wasusi, kuwapa elimu ya kifedha na kuwasaidia kufikia taasisi za kifedha kwa ajili ya mikopo na mitaji. Kwa upande wao, baadhi ya wasusi walieleza namna walivyopambana na mitazamo hasi ya jamii kuhusu kazi hiyo, hasa kwa vijana wa kiume, lakini walisisitiza kuwa wamefanikiwa kubadilisha maisha yao kupitia kipaji hicho. Frenk Mwingira, msusi kutoka Dodoma, alisema alianza kazi hiyo akiwa mdogo baada ya kuiona ikifanywa na mama na dada zake. Alikumbana na upinzani mkubwa kutoka kwa watu waliodhani kuwa kazi hiyo haifai kwa wanaume, lakini aliamua kufuata kipaji chake. “Siku hizi watu wameanza kunielewa. Kazi hii imenifanya kuwa msaada mkubwa kwa familia yangu. Wale waliokuwa wananibeza sasa ndio wateja wangu,” alisema. Naye Faustin Kwolesya kutoka mkoa wa Kilimanjaro alisema alianza ususi mwaka 1997, na wakati huo alikuwa akitengwa hata na viongozi wa dini kwa madai kuwa anakaa na wanawake. Hata hivyo, aliamua kupuuza maneno ya watu na kuendelea na kazi hiyo hadi leo, ambayo imemuwezesha kujikimu na kusaidia familia. Uzinduzi wa siku ya wasusi umeelezwa kuwa mwanzo wa harakati za kuitambua rasmi sekta hiyo kama chanzo cha ajira endelevu kwa vijana, huku serikali ikihimizwa kuongeza juhudi za kuwezesha mafunzo ya stadi za maisha kwa wananchi wake.

DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA…

DIRISHA la usajili la usajili linatarajiwa kufungwa usiku wa leo, huku kukiwa na sapraizi kubwa kwa klabu ya Simba baada kutema mastraika wawili walioibeba timu hiyo msimu uliopita, huku winga aliyekuwa akitajwa huenda angefyekwa, akisalimika kama zali. Ipo hivi. Msimu uliopita, Simba iliongozwa eneo la mbele ya washambuliaji Steven Mukwala na Leonel Ateba kila mmoja akifunga mabao 13 sawa na aliyomaliza nayo Jonathas Sowah aliyekuwa Singida Black Stars kabla ya kutua Msimbazi kwa ajili ya kikosi cha msimu ujao. Nyota hao wawili kila mmoja pia aliasisti mara nne, lakini timu ikiwa kambini Misri, Ateba aliaga baada ya kupigwa bei Al Shorta ya Iraq kisha akashushwa Seleman Mwalimu ‘Gomes’ kwa mkopo akitokea Wydad Casablanca ya Morocco. Hivi unavyosema taarifa hii ni kwamba mabosi wa klabu hiyo wamempiga bei Mukwala kwa klabu ya Al Ittahad ya Libya na muda wowote taarifa itatolewa rasmi, lakini winga aliyekuwa akielezwa alikuwa atolewe Joshua Mutale akisalimika. Simba ilishapitiliza idadi ya wachezaji 12 wa kigeni kama inavyotakiwa kwa kanuni za usajili wa Ligi Taarifa ni kwamba kabla ya dirisha la usajili kufungwa usiku wa leo, ni kwamba Mukwala amepigwa bei Al Ittihad ya Libya na ilikuwa inasubiriwa tu kutangazwa rasmi. Mukala aliyeasisti pia mabao manne kama ilivyokuwa kwa Ateba, msimu uliopita licha ya kutumika kwa dakika chache, taarifa zilidokeza kuwa hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba msimu ujao 2025/26. Inaelezwa kwamba Simba ilipokea ofa ndefu kutoa Al Ittihad ya Libya ambayo imetuma ofa ya kumnasa mshambuliaji huyo na kuwa sehemu ya kikosi chao msimu huu. Chanzo cha kuaminika kutoka Simba kimesema kuwa Al Ittihad wamefika dau la kumnunua mshambuliaji huyo na dili hilo linatajwa kukamilikajana na uthibitisho utatolewa. “Ni kweli tumefikia makubaliano ya kumuuza Mukwala kwenda Al Ittihad na kuna uwezekano akasajiliwa mchezaji mmoja ambaye atapishana na Mukwala kama kocha alivyosisitiza kuongezwa mchezaji mmoja,”kilisema chanzo hicho na kuongeza; “Tumemuuza Mukwala kwa dau nono sana siwezi kuweka wazi ni kiasi gani lakini pesa hiyo itatusaidia kunasa saini ya mchezaji mwingine yeyote bora kama ambavyo kocha Fadlu amesisitiza kusajiliwa mchezaji mwenye ubora mkubwa.” Mukwala ambaye wakati anatua Simba iliripotiwa amesaini mkataba wa miaka mitatu, tayari ametumikia mwaka mmoja na kuisaidia timu hiyo kufika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kupoteza mbele ya RS Berkane ya Morocco. “Makubaliano ya pande zote mbili kati yetu sisi Simba na Al Ittihad yanakwenda vizuri nafikiri taarifa ya usahihi zaidi kama dili limekwenda kama lilivyopangwa kesho (leo) itatolewa na kila mwanasimba ataupongeza uongozi kwa biashara nzuri tuliyoifanya.” Hata hivyo taarifa kutoka vyanzo vingine vinadai kuwa Simba watavuna karibu dola za kimarekni milioni moja sawa au zaidi ya Bilioni 2.5 za kitanzania kwa kumuuza nyota huyo anayechezea pia timu ya Taifa ya Uganda. Taarifa zinasema kuwa Simba wameongeza maongezi juu ya kumpata nyota mwingine wa Uganda, John Okello anayechezea klabu ya Vipers ili kuwahi dirisha la usajili kabla halijafungwa leo saa sita usiku. Hivi karibuni kocha, Fadlu alikaririwa akisema kuwa bado wanahitaji angalau mchezaji mmoja mwenye kitu cha ziada (X-Factor) atakayewaongezea kitu hasa kwenye michuano ya kimataifa pamoja na mbio za ubingwa wa ligi. Hivyo kuuzwa kwa Mukwala kunatoa nafasi kwa Simba kufanya usajili mapema kabla ya dirisha la usajili la ndani halijafungwa. Credit:- MwanaSpoti. The post DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA… appeared first on Soka La Bongo.

NAFASI Za Kazi Azam TV

NAFASI Za Kazi Azam TV NAFASI Za Kazi Azam TV Azam TV is offering an exciting career opportunity for a LED Perimeter Technician. This role is perfect for individuals with strong technical skills, hands-on experience in LED systems, and the ability to work under pressure to ensure flawless performance during live events. Job Purpose The LED Perimeter Technician will be responsible for ensuring smooth operation, troubleshooting, preventive maintenance, and timely replacement of LED perimeter boards and related components. The goal is to guarantee uninterrupted display quality during live productions, sports events, and commercial broadcasts. Key Responsibilities 1.Operation & Monitoring Monitor LED perimeter screens during events for uninterrupted performance. Verify input signals from media servers, video processors, and related devices. Ensure proper synchronization between sending/receiving cards, media converters, and control systems 2.Troubleshooting & Repairs Diagnose and resolve faults in LED modules, power/data cables, and sending/receiving cards. Perform on-site diagnostics for issues like pixel drops, mismatches, or signal loss. Replace defective components promptly with minimal downtime. 3. Routine & Preventive Maintenance Conduct inspections of LED panels, cabling, and power systems. Implement cooling systems and cleaning measures to prevent faults. Keep accurate reports on maintenance and repairs. 4.Upgrades & Replacement Advisory Recommend replacements for aging LED modules and components. Advise on spare parts management and inventory. Support software updates, firmware upgrades, and calibration of LED boards. 5. Technical Coordination Work closely with engineers, IT, and operations teams. Ensure seamless integration of LED systems with video processors and broadcast feeds. Assist in setup, dismantling, and reconfiguration of LED perimeter systems. 6.Compliance & Safety Follow safety standards for handling electronic/electrical equipment. Ensure compliance with venue and broadcast operational requirements. Key Skills & Competencies Strong knowledge of LED display systems and sending/receiving cards (e.g., NovaStar, ColorLight, Linsn). Hands-on experience with video processors, media converters, and signal distribution. Ability to troubleshoot and resolve hardware/software issues quickly. Familiarity with Ethernet, fiber optics, SDI/HDMI/DVI connections. Good understanding of preventive maintenance for electronic equipment. Strong reporting and communication skills. Flexible with working hours, including nights, weekends, and event days. Qualifications & Experience Diploma/Degree in Electronics, Electrical Engineering, Broadcast Technology, or related fields. Minimum 2–3 years’ experience working with LED display systems (preferably in live broadcast or sports environments). Experience with LED perimeter advertising systems will be an added advantage. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Azam TV. Join Azam TV today and be part of a dynamic team ensuring the best in live broadcast technology! Interested candidates should submit their CV to: recruitment@azam-media.com, Ensure you indicate the job title in the subject line of your email Deadline is 6th September 2025.

Israel yashambulia uongozi wa Hamas Doha, Qatar. Katika Dira ya Dunia TV

USUSI WATAJWA KAMA FURSA YA AJIRA KWA VIJANA

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 09, 2025

DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA…

NAFASI Za Kazi Azam TV

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Rais Samia Kuchukua Fomu ya Urais Kesho

  • 08 Aug 2025
  • 84
© Image Copyrights Title

HII HAPA TAREHE YA SIMBA, YANGA KUKUTANA MSIMU HUU…

  • 08 Aug 2025
  • 143
© Image Copyrights Title

Utalii Wafunga Mwaka 2024/25 Ukiongoza Fedha za Kigeni

  • 08 Aug 2025
  • 126
© Image Copyrights Title

NAFASI Za Kazi Azam Media, Ajira Mpya Azam TV

  • 08 Aug 2025
  • 154
© Image Copyrights Title

NAFASI Za Kazi GSM Group Tanzania

  • 07 Aug 2025
  • 136
© Image Copyrights Title

CMSA, Hazina Zaipongeza Vertex Ujio Bidhaa Mpya Sokoni

  • 07 Aug 2025
  • 134
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

USUSI WATAJWA KAMA FURSA YA AJIRA KWA VIJANA

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 12
Read all News
© Image Copyrights Title

USUSI WATAJWA KAMA FURSA YA AJIRA KWA VIJANA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 12
© Image Copyrights Title

GUMZO LA JIJI. KWA SASA NI AMARULA SUNDOWN SESSIONS

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 19
© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 33
© Image Copyrights Title

WAZIRI DKT. GWAJIMA AMWAKILISHA SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AKSON KWENYE HAFLA YA MISS UNIVERSE TANZANIA, 2025,

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 50
© Image Copyrights Title

WAZIRI MWITA AWATAKA WANAMITINDO KUIWAKILISHA VEMA NCHI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 94
© Image Copyrights Title

“KAMA WAO” YAINGIA MTAANI! MUGGA MO NA BANDO MC WAPIGA KAZI SAFI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 185
© Image Copyrights Title

ADONIJAH OWIRIWA ,  MTAYARISHAJI MKUU WA FESTAC ’77, ANASEMA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 71
© Image Copyrights Title

BASATA YA WAJENGEA UELEWA WA MIFUMO KUSOMANA MAAFIA UTAMADUNI NA BIASHARA MARA 

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 68
© Image Copyrights Title

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 65
© Image Copyrights Title

CDQ HATIMAYE AMEZINDUA VISUALIZER YA WIMBO MAARUFU “SUWE”

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 73

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA…

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 61
Read all News
© Image Copyrights Title

DILI LA MUKWALA KUUZWA…SIMBA WANAPIGA PESA NDEFUU AISEE….MBADALA WAKE HUYU HAPA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 61
© Image Copyrights Title

YANGA WAIPIGA SIMBA BAO ‘ISHU’ YA UWANJA….ISHU NZIMA IKO HIVI….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 46
© Image Copyrights Title

NI ZAIDI YA NOMAA😎👌🔥…YANGA WATIA MEZANI BIL 33 KUIFUNGA SIMBA …

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 46
© Image Copyrights Title

CHUKUA HIYOOOO….YANGA WAIACHA MBALI AL AHLY YA MISRI….UKITAKA KUINUNUA JIPANGE…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 46
© Image Copyrights Title

KISA KIPA NA BEKI MPYA…FADLU AWATEGA MASTAA SIMBA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 54
© Image Copyrights Title

SIMBA MPYA HII HAPA….MO DEWJI AJIWEKA KANDO…TRY AGAIN APIGWA CHINI…MAGORI, BARBARA WAULA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 74
© Image Copyrights Title

TIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP, KUANZA SEPTEMBA 2

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 37
© Image Copyrights Title

MWISHOOO….AZAM WAGONGELEA MSUMARI KAULI YA SIMBA KWA FEI TOTO….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 34
© Image Copyrights Title

KANUNI MPYA TFF….SIMBA, YANGA KUCHEZESHWA NA REFA KUTOKA NNJE…MAPRO WOTE RUKSA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 32
© Image Copyrights Title

BAADA YA KAMBI YA MISRI KUISHA…FADLU KAKUNA KICHWA WEE…KISHA AKASEMA HAPA BADO…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 29
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook