Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Kuchukua Fomu ya Urais Kesho

  • 40
Scroll Down To Discover

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla amesema kuwa Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu atachukua fomu ya Urais kesho Agosti 9, 2025 katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi Dodoma akiambatana na Mgombea Mwenza Dkt. John Nchimbi.

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV — usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe ili uendelee kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.



Prev Post Je, Kenya, Uganda na Tanzania zitatoboa robo fainali ya CHAN? Katika Dira ya Dunia TV
Next Post RASMI….MABILIONI YA YANGA KUWEKWA HADHARANI….ENG HERSI KUANIKA KILA KITU….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook