MAGAZETI ya Leo Jumanne 03 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 03 June 2025 MAGAZETI ya Leo Jumanne 03 June 2025 Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema katika kipindi cha Julai 2024 hadi kufikia March 2025, takwimu zinaonesha Watu 1,500,212 kati ya waliopima na kutambua hali zao za maambukizi ya VVU walikuwa wameanza kutumia dawa za kufubaza VVU, sawa na asilimia 98. Akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Bungeni Jijini Dodoma leo June 02,2025, Mhagama amesema “Katika kipindi cha Julai 2024 hadi kufikia March 2025, takwimu zinaonesha kuwa jumla ya Watu 1,530,227 walikuwa wanatambua hali zao za maambukizi ikiwa ni sawa na 90% ya Watu 1,700,000 wanaokadiriwa kuishi na VVU nchini (95 ya kwanza), Watu 1,500,212 kati ya waliopima na kutambua hali zao za maambukizi ya VVU walikuwa wameanza kutumia dawa za kufubaza VVU, sawa na asilimia 98” “Aidha jumla ya vipimo 874,944 vya kujua wingi wa VVU kwa wagonjwa walioanza kutumia dawa vilifanyika, ambapo vipimo vya wagonjwa 858,272 sawa na asilimia 98 vilionesha kuwa virusi vya UKIMWI vimefubazwa (95 ya tatu)”

Kanisa La Askofu Gwajima Lafungiwa – Video

Msajili wa Jumuiya za Kiraia nchini ametangaza rasmi kufutwa kwa usajili wa Glory of Christ Tanzania Church, Kanisa la Ufufuo na Uzima kuanzia tarehe 02 Juni 2025. Hatua hii imechukuliwa chini ya vifungu vya Sheria ya Jumuiya Sura ya 337, kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Marekebisho Mbalimbali ya Sheria Na. 3 ya mwaka 2019.  

Taasisi ya Vodacom Foundation Kuwekeza TZS Bilioni 3.25 Kwenye Elimu Kupitia Ushirikiano naTaasisi ya Elimu Tanzania na Twaweza Afrika Mashariki

Ushirikiano wazinduliwa wakati wa ufunguzi wa Wiki ya AZAKI 2025 jijini Arusha, Tanzania. Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation leo umetangaza uwekezaji wa TZS bilioni 3.25 kwa kipindi cha miaka mitatu ili kuendeleza sekta ya elimu nchini Tanzania kupitia ushirikiano mpya na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) na Twaweza Afrika Mashariki. Tangazo hili lilitolewa wakati wa ufunguzi rasmi wa Wiki ya AZAKI 2025, kwa heshima ya uwepo wa Mhe. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia. Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Mitaala katika Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dkt. Angela Katabaro (kushoto), na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom na Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), wakishiriki katika hafla ya utiaji saini wa ishara kwa niaba ya taasisi zao kwa ajili ya ushirikiano wa kuviwezesha Vituo 184 vya Rasilimali za Walimu kwa vifaa vya TEHAMA na intaneti ili kusaidia mafunzo ya walimu kupitia mpango wa MEWAKA. Hafla hii imefanyika leo katika Hoteli ya Mount Meru, Arusha wakati wa uzinduzi rasmi wa Wiki ya CSO 2025. Akizungumza katika hafla hiyo, Zuweina Farah, Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Plc na Vodacom Tanzania Foundation, alisema: “Kupitia ushirikiano huu, tunalenga kuimarisha ubora wa elimu nchini Tanzania kwa kuwapa walimu zana sahihi na kuwasaidia wanafunzi kujenga ujuzi madhubuti wa msingi. Uwekezaji katika elimu leo utatoa fursa zaidi kwa vizazi vijavyo.” Kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Vodacom itaviwezesha Vituo 184 vya Rasilimali za Walimu (TRCs) kwa vifaa vya TEHAMA na huduma ya intaneti ya uhakika ili kusaidia utekelezaji wa mpango wa serikali wa Maendeleo Endelevu ya Utaalamu wa Walimu (TCPD) ujulikanao kama MEWAKA. Miundombinu hii ya kidijitali itawawezesha walimu zaidi ya 300,000 nchini kote kufikia vifaa vya kujifunza kupitia Mfumo wa Usimamizi wa Kujifunza (LMS), na hivyo kuboresha ubora wa ufundishaji kwa mujibu wa mtaala mpya wa msingi wa umahiri wa mwaka 2023 wa Tanzania. Dkt. Angela Katabaro, Mkurugenzi Mkuu wa TIE, alisema: “Uwezeshaji wa walimu kwa TEHAMA ni jambo la msingi katika utoaji wa elimu bora. Kupitia ushirikiano na Vodacom, tunaweza kupanua mpango wetu wa MEWAKA na kuziba pengo la kidijitali.” Aidha, ushirikiano wa Taasisi ya Vodacom Foundation na Twaweza utaunga mkono upanuzi wa mpango wa KiuFunza Pay-by-Skill, ambao unawapa motisha walimu wa darasa la 1-3 kuwasaidia wanafunzi kumudu stadi za msingi za kusoma, kuandika na kuhesabu. Mpango huu utafanyika katika shule 865, ukifikia zaidi ya wanafunzi 360,000 wa madarasa ya awali ya msingi. Takwimu za kitaifa zinaonesha kuwa asilimia 60 ya watoto wa miaka 10 nchini Tanzania bado wanapata changamoto ya kusoma na kuelewa hadithi rahisi. Anna Bwana, Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Afrika Mashariki, alisema: “Ushirikiano huu unahakikisha kuwa kujifunza kunatokea katika kila darasa. Tuna ushahidi dhabiti kuwa Pay-by-Skill unafanya kazi. Unawatia motisha walimu na kuboresha matokeo kwa watoto.” Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza East Africa, Bi. Anna Bwana (kushoto), na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom na Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), wakionyesha makubaliano ya ishara ya ushirikiano wao unaotarajiwa kupanua mpango wa KiuFunza Pay-by-Skill unaolenga kuboresha elimu ya msingi. Tukio hili limefanyika leo katika Hoteli ya Mount Meru, Arusha wakati wa Wiki ya CSO 2025. Uwekezaji wa elimu wa Vodacom Tanzania unalingana na vipaumbele vya kitaifa vya elimu nchini Tanzania, Lengo la Maendeleo Endelevu namba 4 (elimu bora), pamoja na dhamira ya Vodacom ya kuwawezesha watu kupitia elimu jumuishi, mabadiliko ya kidijitali, na ubunifu kwa ajili ya matokeo chanya. Katika kipindi cha miaka mitatu, Vodacom Foundation itatoa fedha pamoja na msaada wa kitaalamu katika kuimarisha utekelezaji wa programu, utafiti, ufuatiliaji, na utetezi. The post Taasisi ya Vodacom Foundation Kuwekeza TZS Bilioni 3.25 Kwenye Elimu Kupitia Ushirikiano naTaasisi ya Elimu Tanzania na Twaweza Afrika Mashariki appeared first on SwahiliTimes.

Balozi Nchimbi Awasili Songea Mazishi Ya Mzee Songambele

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma na kupokelewa na viongozi wa Chama na Serikali mkoani humo, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed na Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma, Mohamed Ali Khalfan, leo Jumatatu tarehe 2 Juni 2025. Balozi Nchimbi amewasili mjini Songea, kwa ajili ya kushiriki mazishi ya mwanasiasa mkongwe na mmoja wa wapigania uhuru wa Tanganyika, na waasisi wa Chama cha TANU na CCM, Alhaj Mzee Mustafa Mohamed Songambele, aliyefariki usiku wa kuamkia Juni 1, 2025 jijini Dar es Salaam na kutarajiwa kuzikwa leo mjini Songea.  

Rihanna Afiwa Na Baba Yake Mzazi ‘Ronald Fenty’.

Mwanamuziki Rihanna Amempoteza Baba Yake ‘Ronald Fenty’, Ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70 huko Los Angeles baada ya kuugua (Ugonjwa Haujawekwa Wazi). Ronald Fenty Amefariki Dunia Leo Jumamosi Mei 31, 2025. Baba Wa Rihanna ‘Ronald Fenty’ Na Mkewe ‘Monica’ Walibarikiwa Kuwa Na Watoto Watatu Ambao Ni Rihanna, Rajad, na Rorrey. The post Rihanna Afiwa Na Baba Yake Mzazi ‘Ronald Fenty’. appeared first on Wasafi Media.

MAGAZETI ya Leo Jumanne 03 June 2025

Kanisa La Askofu Gwajima Lafungiwa – Video

Taasisi ya Vodacom Foundation Kuwekeza TZS Bilioni 3.25 Kwenye Elimu Kupitia Ushirikiano naTaasisi ya Elimu Tanzania na Twaweza Afrika Mashariki

Balozi Nchimbi Awasili Songea Mazishi Ya Mzee Songambele

Rihanna Afiwa Na Baba Yake Mzazi ‘Ronald Fenty’.

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Oparesheni ya TAWA Yaua Fisi 43 Itilima, Bariadi na Maswa

  • 10 Apr 2025
  • 12
© Image Copyrights Title

Bolt Yazindua Rasmi Huduma Zake Katika Mji wa Kahama

  • 10 Apr 2025
  • 10
© Image Copyrights Title

Shaka Ssali Kufanyiwa Heshima za Mwisho Leo Marekani

  • 10 Apr 2025
  • 10
© Image Copyrights Title

SIKU YA KUSHINDA MAMILIONI NDIO LEO….

  • 09 Apr 2025
  • 60
© Image Copyrights Title

TIMIZA NDOTO ZAKO ZA KUWA MILIONEA NA MERIDIANBET…

  • 09 Apr 2025
  • 14
© Image Copyrights Title

NANI KUKUPATIA MKWANJA MECHI ZA UEFA LEO….?

  • 09 Apr 2025
  • 43
© Image Copyrights Title

UMEWAHI KUUCHEZA MCHEZO HUU WA KASINO| CHINESE TIGER?…

  • 09 Apr 2025
  • 35
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Rihanna Afiwa Na Baba Yake Mzazi ‘Ronald Fenty’.

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 29
Read all News
© Image Copyrights Title

Rihanna Afiwa Na Baba Yake Mzazi ‘Ronald Fenty’.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 29
© Image Copyrights Title

Mbosso Anakuja Na Jambo Gani ?

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 28
© Image Copyrights Title

Diamond amuoa Zuchu, asema “Siku Ikifika Nitawaambia Ilivyokuwa”

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 23
© Image Copyrights Title

Chris Brown ashitakiwa kwa kumshambulia mtu kwenye klabu ya Usiku

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 44
© Image Copyrights Title

D Voice Atarajia Kuachia Ep yake Mpya

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 52
© Image Copyrights Title

Bobby Shmurda Asitisha Tour Yake, Auza Tiketi 10 Tu Kila Mji.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 38
© Image Copyrights Title

Wasanii Wanaowania Tuzo Za BET 2025.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 31
© Image Copyrights Title

Diamond Mfalme Wa Youtube Africa.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 47
© Image Copyrights Title

Rihanna Na Asap Rocky Watarajia Kupata Mtoto Wa 3.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 42
© Image Copyrights Title

Yammi Aacha Na Label Ya Nandy ‘The African Princess’.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 51

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

BAADA YA KUANZA KUNG’AA UPYA …MUTALE AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA ALIYOKUWA ANAPITIA…

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 29
Read all News
© Image Copyrights Title

BAADA YA KUANZA KUNG’AA UPYA …MUTALE AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA ALIYOKUWA ANAPITIA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 29
© Image Copyrights Title

KISA CAF….HAYA HAPA MAAMUZI MAGUMU YA MO DEWJI SIMBA….FADLU KICHEKO TU…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 23
© Image Copyrights Title

ZA NDAAANI…MOKWENA AIPA MASHARTI HAYA YANGA….MFARANSA WA ASEC MHHH 🧐….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 27
© Image Copyrights Title

KISA AZIZ KI KUSEPA MAPEMA….BEKI YANGA AVUNJA UKIMYA….ATAJA HOFU, UBORA WA TIMU…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 27
© Image Copyrights Title

KUHUSU YANGA KUPATA BIL 1 FEI AKIENDA SIMBA….AZAM FC ‘WASHINDILIA MSUMARI’…UKWELI HUU HAPA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 33
© Image Copyrights Title

TAARIFA KAMILI YA PROMOSHENI – GATES OF OLIMPIA SASA NDANI YA MERIDIANBET..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 34
© Image Copyrights Title

MERIDIANBET YAENDELEZA UONGOZI WA KIJUMUISHI NA MAENDELEO YENYE USAWA KATIKA MASOKO YAKE.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 29
© Image Copyrights Title

NANI KUIBUKA KIDEDEA, PSG VS INTER MILAN?…ODDS ZA USHINDI ZIKO NDANI YA HAPA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 28
© Image Copyrights Title

MERIDIANBET YATOA VIFAA VYA AFYA HOSPITALI YA SINZA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 41
© Image Copyrights Title

BETI MECHI YA FAINALI REAL BETIS VS CHELSEA NA MERIDINBET LEO….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 34
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook