MAGAZETI ya Leo Ijumaa 30 May 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 30 May 2025 MAGAZETI ya Leo Ijumaa 30 May 2025 Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetoa taarifa kwa Waislamu na Wananchi wote kwa jumla kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’haa itakuwa siku ya Jumamosi June 07, 2025. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaj Nuhu Jabiri Mruma, imesema kuwa sherehe za Eid El-Adh’ha kitaifa kwa mwaka huu zitafanyika Mkoa wa Dar es salaam na Swala ya Eid itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA Makao Makuu Kinondoni kuanzia saa 1.30 asubuhi na kufuatiwa na Baraza la Eid mara tu baada ya Swala. “Kwa niaba ya Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dr. Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana anawatakia Waislamu na Wananchi wote maandalizi mema ya Sikukuu hiyo” Katika hatua nyingine Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar imetangaza kuwa Sikukuu ya Eid Al-Adha itakuwa siku ya Jumamosi ya June 07,2025 sawa na Mwezi 10 dhul-hijjah 1446H ambapo Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume amesema swala na Baraza la Eid el Adh-haa mwaka huu vitafanyika Wilaya ya Kati, ambapo swala itasaliwa katika Msikiti wa Ijumaa Bambi saa 1:15 asubuhi, na Baraza la Eid litafanyika katika Viwanja vya Skuli ya Suza Tunguu Unguja.

Matukio Mbalimbali Kutoka Katika Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo – Picha

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi akitoa neno fupi la ukaribisho katika Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo Tarehe 29 Mei 2025. Wajumbe na waalikwa wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wakishiriki na kufuatilia Mkutano Mkuu wa CCM Taifa leo Tarehe 29 Mei 2025 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kufurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi katika Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo Tarehe 29 Mei 2025 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, amesema marekebisho ya Katiba ya chama hicho yanayopendekezwa ni muhimu ili kukijenga upya CCM kwa kuzingatia mahitaji ya sasa na kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi zake. Akizungumza katika Mkutano Maalum wa CCM unaoendelea jijini Dodoma, Rais Samia alisema mabadiliko hayo nipamoja na kuongeza mjumbe wa baraza la wadhamini kwa mujibu ya sheria ya vyama vya siasa nchini.

Jinsi Wa Kupata Mkopo Wa Benki Haraka Bila Mdhamini

Side view portrait of smiling African-American man using smartphone in bed at night, copy space Kupata mkopo kutoka benki bila kuwa na mdhamini ni changamoto inayowakumba watu wengi, hasa wale walio kwenye sekta isiyo rasmi au wanaoanza biashara ndogo ndogo. Mara nyingi, masharti ya taasisi za fedha ni magumu na yanahitaji mdhamini mwenye sifa maalum, hali inayowafanya wengi kukata tamaa. Hata hivyo, nimegundua njia mbadala ya kupata mkopo wa haraka na rahisi bila kupitia mchakato huo mrefu wala kusumbuliwa kutafuta mdhamini. Miaka miwili iliyopita, nilikuwa nimeanzisha biashara ya kuuza bidhaa za nyumbani nikiwa na mtaji mdogo sana. Nilikuwa na ndoto ya kufungua duka kubwa zaidi, lakini nilihitaji mkopo wa takribani milioni tano. Nilipoenda benki kuomba mkopo, niliambiwa ni lazima niwe na mdhamini mwenye kazi rasmi, akaunti ya muda mrefu benki, na dhamana ya mali isiyohamishika. Nilijaribu kutafuta mdhamini kwa marafiki na jamaa lakini hakuna aliyekuwa tayari kuchukua jukumu hilo. Nilikatishwa tamaa sana. Siku moja nilisikia redio ikitangaza kuhusu mtu aliyesaidiwa kupata mkopo kupitia tiba mbadala ya kiasili. Computer generated 3D photo rendering. Alielezea jinsi alivyoenda kwa Kiwanga Doctors, wataalamu wa tiba za kienyeji na za kiroho, ambao walimsaidia kufanikisha mambo ambayo alikuwa ameshindwa kuyapata kwa njia za kawaida. Alielezea jinsi baada ya kupata tiba hiyo, alifanikisha mambo mengi ikiwemo kupata mkopo mkubwa benki bila kudhaminiwa na mtu yeyote. Nilijishauri kwa makini na nikaamua kujaribu. Nilipowasiliana na Kiwanga Doctors kwa nambari yao ya simu +255 763 926 750, walinisikiliza kwa makini na kunielekeza kufanya ritua ya kuvutia bahati nzuri na kuimarisha mvuto wangu wa kifedha mbele ya maafisa wa benki. Walitumia tiba ya mitishamba na maombi ya kiroho kunisaidia kufungua njia ya mkopo. Nilifuata masharti yao kwa uaminifu kwa siku tatu mfululizo. Cha kushangaza ni kwamba, baada ya wiki moja niliporudi benki, maafisa waliangalia upya maombi yangu. Safari hii walikubali kuniwezesha kupata mkopo wa milioni tano bila kuniuliza tena kuhusu mdhamini. Walisema kuwa waliona uwezo mkubwa wa marejesho kutokana na mzunguko wa pesa kwenye akaunti yangu, jambo ambalo kabla hawakuwa wameliona. Nilishangaa kwa sababu sikuwa nimeongeza kitu chochote kikubwa kwenye biashara ila nguvu ya tiba ya Kiwanga ilikuwa imetengeneza mazingira ya mafanikio. Tangu wakati huo, nimeweza kupanua biashara yangu, kufungua duka la pili, na sasa ninaajiri watu wanne. Sina deni tena, na maisha yangu yamebadilika kabisa. Nashukuru kuwa sikuichukulia tiba ya asili kama ushirikina bali kama njia mbadala ya kupata msaada pale ambapo njia za kawaida zimegoma. Ninapenda kuwasihi wale wote wanaohangaika kutafuta mikopo bila mafanikio, hasa wale ambao hawana mdhamini, wasikate tamaa.   Njia zipo, na moja ya njia bora zaidi ni kupitia tiba za asili zinazotolewa na Kiwanga Doctors. Kama ilivyowezekana kwangu, naamini inaweza kukutokea wewe pia. Kwa mawasiliano na usaidizi zaidi, wasiliana na Kiwanga Doctors kupitia: +255 763 926 750

Wajumbe Wapya Wanne Wachaguliwa Kujiunga na Kamati Kuu ya CCM Taifa

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), katika kikao chake maalum kilichofanyika Jumatano tarehe 28 Mei 2025, jijini Dodoma, imefanya uchaguzi wa Wajumbe wanne wa Kamati Kuu. Wajumbe waliochaguliwa kuwa sehemu ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ni: 1. Namelock Edward Sokoine 2. Dkt. Juma Abdallah (Mabodi) 3. Salim Faraj Abri (Asas) 4. Hamad Hassan Chande Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA. Amos Gabriel Makalla.

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 30 May 2025

Matukio Mbalimbali Kutoka Katika Mkutano mkuu wa CCM Taifa Leo – Picha

JINSI NILIVYOFUKUZA WATU WASIOFAA MAISHANI MWANGU, NA KUPATA AMANI YA KUDUMU

Jinsi Wa Kupata Mkopo Wa Benki Haraka Bila Mdhamini

Wajumbe Wapya Wanne Wachaguliwa Kujiunga na Kamati Kuu ya CCM Taifa

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Nelly Kamwelu Amuangukia Mama Yake

  • 11 Apr 2025
  • 11
© Image Copyrights Title

Ufanisi wa TCAA Wapongezwa na Msajili wa Hazina

  • 11 Apr 2025
  • 8
© Image Copyrights Title

Tundu Lissu Asomewa Shitaka la Uhaini Mahakama ya Kisutu

  • 10 Apr 2025
  • 16
© Image Copyrights Title

Oparesheni ya TAWA Yaua Fisi 43 Itilima, Bariadi na Maswa

  • 10 Apr 2025
  • 11
© Image Copyrights Title

Bolt Yazindua Rasmi Huduma Zake Katika Mji wa Kahama

  • 10 Apr 2025
  • 10
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Chris Brown ashitakiwa kwa kumshambulia mtu kwenye klabu ya Usiku

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 43
Read all News
© Image Copyrights Title

Chris Brown ashitakiwa kwa kumshambulia mtu kwenye klabu ya Usiku

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 43
© Image Copyrights Title

D Voice Atarajia Kuachia Ep yake Mpya

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 48
© Image Copyrights Title

Bobby Shmurda Asitisha Tour Yake, Auza Tiketi 10 Tu Kila Mji.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 37
© Image Copyrights Title

Wasanii Wanaowania Tuzo Za BET 2025.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 26
© Image Copyrights Title

Diamond Mfalme Wa Youtube Africa.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 45
© Image Copyrights Title

Rihanna Na Asap Rocky Watarajia Kupata Mtoto Wa 3.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 42
© Image Copyrights Title

Yammi Aacha Na Label Ya Nandy ‘The African Princess’.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 49
© Image Copyrights Title

Mtuhumiwa Aliyemuibia Kim Kardashian Afariki Dunia Kabla Ya Kesi Kuanza.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 33
© Image Copyrights Title

Mtuhumiwa Aliyemuibia Kim Kardashian Afariki Dunia Kabla Ya Kesi Kuanza.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 22
© Image Copyrights Title

Jux Ashinda Tuzo Ya Msanii Bora Afrika Mashariki Kwenye The Headies Nigeria.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 37

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

GATES OF OLYMPUS SASA NDANI YA MERIDIANBET!…

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 25
Read all News
© Image Copyrights Title

GATES OF OLYMPUS SASA NDANI YA MERIDIANBET!…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 25
© Image Copyrights Title

GATES OF OLYMPUS SASA NDANI YA MERIDIANBET!…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 25
© Image Copyrights Title

GATES OF OLYMPUS SASA NDANI YA MERIDIANBET!…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 24
© Image Copyrights Title

BENCHIKA AFICHUA UZEMBE WA SIMBA KUMKOSA CAMARA NA KUMLETA BABACAR SARR….

  • 21

RASMII…DIARA AANZA KUWATIA TUMBO JOTO YANGA….MABOSI WAGAWANYIKA…ANATAKA KUSEPA..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 27

  • 19
© Image Copyrights Title

KUMBE SIO UBINGWA TU…..KOCHA BERKANE KAONDOKA NA JINA LA STAA HUYU WA SIMBA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 11
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook