Meridianbet inakukaribisha kwenye promosheni ya kipekee ya Wild White Whale kwa mwezi wa Julai 2025. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Julai, wachezaji wana fursa ya kupata spin 50 za bure kila siku kwa kukamilisha spin 100 kwenye mchezo huu wa kasino.
Ili kushiriki, unahitaji tu kuwa na akaunti halali ya Meridianbet na kufanya deposit kwenye akaunti yako. Mara tu unapofanikiwa kukamilisha spin 100 kwa siku, utapokea moja kwa moja spin 50 za bure ambazo unaweza kutumia kwenye mchezo wa Wild White Whale.
Faida kuu ya promosheni hii ni kwamba hata kama hukushinda wakati wa spin zako 100 za kawaida, bado utapata spin 50 za bure kama zawadi. Spins hizi za bure hazina masharti yoyote ya kuchezwa tena, hivyo unaweza kutoa pesa zako mara moja ukishinda.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Promosheni hii inapatikana kwa wateja wote waliosajiliwa kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au programu ya simu ya Meridianbet. Kumbuka kuwa ofa ni moja kwa kila akaunti ya mteja kwa siku, na spins za bure zinaweza kutumika kwenye Wild White Whale pekee.
Meridianbet inahifadhi haki ya kubadilisha masharti bila taarifa ya awali. Hii ni fursa bora ya kupanua uzoefu wako wa kubahatisha bila gharama ya ziada.
Jiunge sasa na meridianbet kwa kufungua akaunti na kujisajili kisha ufurahie burudani ya ziada na nafasi zaidi za kushinda kupitia michezo mbalimbali.
The post JIPATIE SPIN ZA BURE KILA SIKU KWENYE WILD WHITE WHALE NA MERIDIANBET… appeared first on Soka La Bongo.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!