Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MERIDIANBET WAJA NA SUPER HELI, USHINDE SAMSUNG A25 BILA KUTOA JASHO…

  • 42
Scroll Down To Discover

Nyingine tena kutoka kwa wakali wa michezo ya Ubashiri nchini. Meridianbet wanaonyesha kuwa wao ni zaidi ya burudani kwa kuja na promosheni kali kupita kawaida. Kupitia mchezo maarufu wa kasino mtandaoni wa Super Heli, sasa unaweza kujishindia simu mpya ya kisasa aina ya Samsung A25, bila gharama ya ziada. Ndiyo, unasikia vizuri kabisa, ni Samsung A25 kutoka kwa wataalamu wa teknolojia ya kisasa duniani.

Promosheni hii ya kuvutia ilianza rasmi tarehe 1 Julai na itaendelea hadi 31 Julai, ikiwapa nafasi wateja wote wa Meridianbet kushinda zawadi hii murua kwa kuendesha helikopta yao ya ushindi kupitia mchezo wa Super Heli.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni lakini pia una machaguo ya kutosha ukiwa unabashiri na Meridianbet, kila chaguo lina odds kubwa. Jisajili na Cheza.

Super Heli ni mchezo gani? Huu ni mchezo wa kasino mtandaoni unaokupa nafasi ya kuongeza ushindi wako papo kwa papo. Unaweka dau lako, helikopta inaanza kuruka, na kadri inavyopaa odds zinaongezeka. Siri ya ushindi ni kuwahi cash out kabla haijalipuka. Pesa inaingia haraka sana huku ukiwa na msisimko wa kuona dau lako likizidi kukua.

Sasa Meridianbet wameongeza ladha kwenye burudani hii kwa kuweka simu 8 za Samsung A25 mezani kwa washiriki wa mwezi mzima. Kila Jumatatu, washindi wawili watatangazwa na hiyo ina maana kila wiki ni fursa mpya ya kushinda.

Hakuna ugumu kushiriki, unachotakiwa ni kuwa na akaunti hai ya Meridianbet, kisha cheza Super Heli mara nyingi kadri uwezavyo. Kadri unavyocheza, ndivyo unavyozidi kujiongezea nafasi ya kuwa miongoni mwa washindi wa simu hizi zenye thamani kubwa.

Usikubali nafasi hii ikupite. Jisajili sasa Meridianbet, cheza Super Heli kupitia tovuti au app, na huenda ukaibuka mshindi wa simu mpya ya Samsung A25 bure kabisa.

The post MERIDIANBET WAJA NA SUPER HELI, USHINDE SAMSUNG A25 BILA KUTOA JASHO… appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post KISA ENG HERSI…..SIMBA KULAMBA MAMILIONI KUTOKA CAF….ISHU NZIMA IKO HIVI…
Next Post ONDOKA NA SAMSUNG A25 KWA KUSHIRIKI AVIATOR…
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook