Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Siri ya Mafanikio ya Mfungaji Tajiri Aliyekuwa na Maisha Duni

Samweli alizaliwa na kukulia katika kijiji kidogo kilichopo mkoani Mbeya, familia yake ikiwa ni ya hali ya chini kabisa. Wazazi wake walitegemea kilimo cha kujikimu, wakilima mpunga na mazao mengine ya chakula. Kutokana na ugumu wa maisha, Samweli hakuweza kuendelea na masomo ya sekondari, hivyo alilazimika kujitosa shambani ili kusaidia familia. Kwa miaka kumi na miwili mfululizo, Samweli alijituma katika mashamba ya mpunga. Alikuwa anaamka kabla ya jua kuchomoza, akishika jembe lake na kuingia shambani huku miguu yake ikizama kwenye matope ya mashamba ya mpunga. Kazi hiyo ilikuwa ngumu na ya kuchosha, lakini hakuwahi kulalamika.SOMA ZAIDI

Nafasi 44 za Ajira Serikalini

https://portal.ajira.go.tz/vacancies The post Nafasi 44 za Ajira Serikalini appeared first on SwahiliTimes.

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva William Nicolas Lyimo maarufu (Bill Nass) akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika Agosti 31, 2025 kwenye uwanja wa Puma mjini Kondoa ambapo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mgonbea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan aliwahutubia wananchi na kuwaomba kura za ndiyo ifikapo Oktoba 29, 2025 katika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika nchini Kote.

OHHH….UMESIKIA YA FADLU HUKO😂😂 …JAMAA BADO ANATAKA MSHAMBULIAJI…AITAJA YANGA…

LICHA ya kocha Fadlu Davids, kusifu usajili uliofanyika, bado amesema anahitaji mshambuliaji mmoja mwenye uwezo wa kufanya maamuzi binafsi mbele ya lango la pinzani. Akizungumza kutoka nchini Misri mara baada ya kumalizika mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Wadi Degla SC ya nchini humo uliochezwa juzi, Fadlu, alisema msimu unaokuja watahitaji kufanya vyema kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na kuwapita wapinzani wao Yanga, hivyo wanahitaji mshambuliaji wa maamuzi binafsi yenye faida kwa timu. “Unakumbuka baadhi ya mechi ngumu msimu uliopita tulikuwa tunakosa mchezaji mkubwa ambaye anaweza kukupa kitu, anaweza kuamua mchezo mkubwa, mfano mechi kama ya fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Barkane ya Morocco, dhidi ya Yanga tulikuwa tunakosa mchezaji kama huyo,” alisema Fadlu. Anasema wanahitaji mshambuliaji huyo ambaye anaweza kuibeba Simba Sports mgongoni kwake mambo yanapokuwa magumu uwanjani. “Bado kuna siku kabla ya dirisha la usajili kufungwa, wana uwezo wa kupata aina hiyo ya mchezaji ili kukamilisha kikosi kabla ya kuanza msimu mpya wa mashindano,” alisema Fadlu. Aidha, alisema suala hilo analiacha mikononi mwa Rais wa Heshima wa klabu hiyo, Mohamed Dewji na wadhamini wa klabu Jayrutty chini ya Mkurugenzi wake, Joseph Rwegasira, ambao wanaweza kufanikisha usajili huo. Akizungumzia mchezo wa juzi ambao Simba ilishinda mabao 2-0, yaliyofungwa na Elie Mpanzu na Kibu Denis, kocha huyo raia wa Afrika Kusini alisema walicheza vyema, lakini wangeweza kupata ushindi mkubwa zaidi kama wachezaji wake wangekuwa makini. “Tumecheza vyema, tungeweza kufunga mabao mengi kwenye mchezo huu, lakini tumefurahi kwa kile tulichokipata,” alisema. Kikosi cha timu hiyo kinatarajiwa kuwasili hapa nchini leo baada ya kuwa Misri tangu Julai 30 kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa mashindano. Mbali na kambi, imecheza michezo minne ya kirafiki, ikishinda mitatu na kupoteza mmoja. The post OHHH….UMESIKIA YA FADLU HUKO😂😂 …JAMAA BADO ANATAKA MSHAMBULIAJI…AITAJA YANGA… appeared first on Soka La Bongo.

Siri ya Mafanikio ya Mfungaji Tajiri Aliyekuwa na Maisha Duni

Nafasi 44 za Ajira Serikalini

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

OHHH….UMESIKIA YA FADLU HUKO😂😂 …JAMAA BADO ANATAKA MSHAMBULIAJI…AITAJA YANGA…

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 01, 2025

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Raia wa Kigeni Akashutumiwa Baada ya Kumnywesha Tembo Bia

  • 29 Aug 2025
  • 16
© Image Copyrights Title

NAFASI Za Kazi JSI Research & Training Institute

  • 28 Aug 2025
  • 26
© Image Copyrights Title

NAFASI Za Kazi Kinglion Investment Ltd

  • 28 Aug 2025
  • 23
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 8
Read all News
© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 8
© Image Copyrights Title

WAZIRI DKT. GWAJIMA AMWAKILISHA SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AKSON KWENYE HAFLA YA MISS UNIVERSE TANZANIA, 2025,

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 41
© Image Copyrights Title

WAZIRI MWITA AWATAKA WANAMITINDO KUIWAKILISHA VEMA NCHI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 81
© Image Copyrights Title

“KAMA WAO” YAINGIA MTAANI! MUGGA MO NA BANDO MC WAPIGA KAZI SAFI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 165
© Image Copyrights Title

ADONIJAH OWIRIWA ,  MTAYARISHAJI MKUU WA FESTAC ’77, ANASEMA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 61
© Image Copyrights Title

BASATA YA WAJENGEA UELEWA WA MIFUMO KUSOMANA MAAFIA UTAMADUNI NA BIASHARA MARA 

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 60
© Image Copyrights Title

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 52
© Image Copyrights Title

CDQ HATIMAYE AMEZINDUA VISUALIZER YA WIMBO MAARUFU “SUWE”

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 60
© Image Copyrights Title

MTANZANIA MWANAMUZIKI KAMANDA RAS MAKUNJA KUTUNIKIWA TUZO YA “Ambassodor of African Culture” NCHINI UJERUMANI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 64
© Image Copyrights Title

UZINDUZI WA HEINEKEN SILVER WATIKISA CHINI YA ARDHI KWA MBWEMBWE ZA KIPEKEE

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 57

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

OHHH….UMESIKIA YA FADLU HUKO😂😂 …JAMAA BADO ANATAKA MSHAMBULIAJI…AITAJA YANGA…

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 13
Read all News
© Image Copyrights Title

OHHH….UMESIKIA YA FADLU HUKO😂😂 …JAMAA BADO ANATAKA MSHAMBULIAJI…AITAJA YANGA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 13
© Image Copyrights Title

PAMOJA NA OFA YA BIL 2 MEZANI ….HIZI HAPA SABABU ZA NDAANI KABISA MZIZE KUBAKI YANGA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 9
© Image Copyrights Title

BAADA YA RATIBA KUTOKA…HIZI HAPA TAREHE ZOTE ZA DABI KWA MSIMU HUU….YANGA KAMA KAWA..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 9
© Image Copyrights Title

KUELEKEA MSIMU MPYA ….FADLU AITILIA NGUMU CAF MAPEMAAH….AFUNGUKA ISHU YA ZNZ……

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 26
© Image Copyrights Title

WAKATI SIMBA WAKIIPIGA JICHO TAREHE 16…..MPANGOWA YANGA HUU HAPA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 18
© Image Copyrights Title

BAADA ATEBA KUUZWA SIMBA…EDO KUMWEMBE ATUPA DONGO KWA FADLU….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 17
© Image Copyrights Title

VYA AZIZI KI VYAPATA MRITHI YANGA….MAYELE ATAJWA UPYAAAA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 21
© Image Copyrights Title

HUKO SIMBA VYUMA BADOOH…..MASHINE MPYA HII HAPA…IMECHEZA KOMBE LA DUNIA LA KLABU…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 15
© Image Copyrights Title

MASHINE MBILI MPYA SIMBA HIZI HAPA….’MAJAMAA’ YANAPIGA KAZI HATARI…..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 47
© Image Copyrights Title

BAADA YA KUMALIZANA NA CHAN….TSHABALALA APEWA SIKU 5 YANGA….FOLZ HACHEKI NA MTU …..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 26
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook