
NAFASI za Kazi Plan International Tanzania
NAFASI za Kazi Plan International Tanzania
Plan International ni shirika la maendeleo na la kibinadamu linaloendeleza haki za watoto na usawa kwa wasichana.
Shirika linaamini katika uwezi wa kila mtoto lakini tunajua hii mara nyingi inakandamizwa na umaskini, vurugu, kutengwa na ubaguzi, Na wasichana ndio wanaoathirika zaidi.
Shirika hilo linatafuta watu wenye nia pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizotangazwa hapa chini.
Maelezo ya Ajira hizi tafadhali bofya kwenye link hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Plan International Tanzania
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!