Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Boti ya Kifahari Yazama Dakika 15 Baada ya Uzinduzi

BOTI mpya ya kifahari (yacht) yenye thamani ya Dola za Kimarekani 940,000 (sawa na takribani Shilingi Bilioni 2.3 za Kitanzania) imezama dakika 15 pekee baada ya kuzinduliwa rasmi majini, tukio lililoacha wengi midomo wazi. Ajali hiyo imetokea takribani mita 200 kutoka ufukweni katika wilaya ya Eregli, mkoa wa Zonguldak, kaskazini mwa Uturuki, siku ya Jumanne. Mashuhuda walisema yacht hiyo ilianza kupoteza mlingano mara tu baada ya kushushwa majini, na hatimaye kuzama kwa haraka. Mmiliki wa meli hiyo, ambaye alikuwemo ndani, alilazimika kuogelea mwenyewe kuelekea ufukweni. Hakuna taarifa za majeruhi wengine zilizoripotiwa. Tukio hili limezua mjadala mkali mitandaoni, wengi wakishangazwa na jinsi chombo cha kifahari chenye thamani kubwa kiasi hicho kilivyoshindwa kudumu hata robo saa baharini. Wengine wameeleza masikitiko yao kwa hasara kubwa iliyompata mmiliki, huku baadhi wakigeuza tukio hilo kuwa utani mitandaoni. CHADEMA WAZUNGUMZA KUHUSU KESI YA LISSU / ACT BADO NGOMA NGUMU / CCM KAZIKAZI – KAMATI…

NAFASI Za Kazi Azam TV

NAFASI Za Kazi Azam TV NAFASI Za Kazi Azam TV Azam TV is offering an exciting career opportunity for a LED Perimeter Technician. This role is perfect for individuals with strong technical skills, hands-on experience in LED systems, and the ability to work under pressure to ensure flawless performance during live events. Job Purpose The LED Perimeter Technician will be responsible for ensuring smooth operation, troubleshooting, preventive maintenance, and timely replacement of LED perimeter boards and related components. The goal is to guarantee uninterrupted display quality during live productions, sports events, and commercial broadcasts. Key Responsibilities 1.Operation & Monitoring Monitor LED perimeter screens during events for uninterrupted performance. Verify input signals from media servers, video processors, and related devices. Ensure proper synchronization between sending/receiving cards, media converters, and control systems 2.Troubleshooting & Repairs Diagnose and resolve faults in LED modules, power/data cables, and sending/receiving cards. Perform on-site diagnostics for issues like pixel drops, mismatches, or signal loss. Replace defective components promptly with minimal downtime. 3. Routine & Preventive Maintenance Conduct inspections of LED panels, cabling, and power systems. Implement cooling systems and cleaning measures to prevent faults. Keep accurate reports on maintenance and repairs. 4.Upgrades & Replacement Advisory Recommend replacements for aging LED modules and components. Advise on spare parts management and inventory. Support software updates, firmware upgrades, and calibration of LED boards. 5. Technical Coordination Work closely with engineers, IT, and operations teams. Ensure seamless integration of LED systems with video processors and broadcast feeds. Assist in setup, dismantling, and reconfiguration of LED perimeter systems. 6.Compliance & Safety Follow safety standards for handling electronic/electrical equipment. Ensure compliance with venue and broadcast operational requirements. Key Skills & Competencies Strong knowledge of LED display systems and sending/receiving cards (e.g., NovaStar, ColorLight, Linsn). Hands-on experience with video processors, media converters, and signal distribution. Ability to troubleshoot and resolve hardware/software issues quickly. Familiarity with Ethernet, fiber optics, SDI/HDMI/DVI connections. Good understanding of preventive maintenance for electronic equipment. Strong reporting and communication skills. Flexible with working hours, including nights, weekends, and event days. Qualifications & Experience Diploma/Degree in Electronics, Electrical Engineering, Broadcast Technology, or related fields. Minimum 2–3 years’ experience working with LED display systems (preferably in live broadcast or sports environments). Experience with LED perimeter advertising systems will be an added advantage. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Azam TV. Join Azam TV today and be part of a dynamic team ensuring the best in live broadcast technology! Interested candidates should submit their CV to: recruitment@azam-media.com, Ensure you indicate the job title in the subject line of your email Deadline is 6th September 2025.

Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini

Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta Septemba 2025Download The post Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini appeared first on SwahiliTimes.

TIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP, KUANZA SEPTEMBA 2

Dar es Salaam. Msimu mpya wa kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza leo, Septemba 2, 2025 kwa mechi mbili kuchezwa kwenye uwanja wa Major General Isamuhyo, Dar es Salaam, mechi hizo zikitarajiwa kutangazwa mubashara na kituo cha radio cha Times FM. Times FM imeingia ubia na Baraza la Soka Afrika Mashariki na Kati ( Cecafa) kutangaza mashindano hayo yanayoanza Septemba 2-15 jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Masoko na mawasiliano wa Cecafa, Andrew Jackson Oryada amesema wameingia ubia na Times FM ambayo itatangaza mubashara mechi zote. “Tunafuraha kubwa kuwa mshirika na Times FM, kituo pekee cha radio kinachotangaza michezo hapa nchini Tanzania, tunaamini ushirikiano huu utaongeza kwa kiwango kikubwa mwonekano na usikivu wa Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2025,” alisema. Alisema kupitia ushirikiano huo, Times FM itatoa matangazo ya kipekee na ya kina ya mashindano ya Kagame Cup, yakiwemo mahojiano na makocha pamoja na manahodha wa timu, matukio ya nyuma ya pazia wakati wa mazoezi, taarifa kutoka vyumba vya kubadilishia, na maudhui ya mchezaji bora wa mechi. Mashindano haya yatashirikisha timu kutoka Tanzania, Zanzibar, Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Djibouti na Ethiopia. Mchambuzi wa michezo wa Times FM, Emmanuel Ndalama alisema mashindano hayo yanayotarajiwa kuanza Septemba 2 hadi 15 yatafuatiliwa moja kwa moja kupitia kituo cha Times FM kama redio mshirika. “Wasikilizaji kote nchini Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki na Kati wataweza kufuatilia matangazo ya moja kwa moja, mahojiano ya kipekee, uchambuzi wa kina na maoni ya moja kwa moja kutoka viwanjani. “Kwa ubia huu, Times FM imeandika historia kama redio pekee ya michezo inayorusha matangazo masaa 24. Nyota na nahodha wa zamani wa Yanga, Juma Abdul ambaye ni miongoni mwa wachambuzi wa mashindano hayo kupitia radio ya Times FM alisema ni mashindano ambayo yanakwenda kuongeza ushindani na kuonyesha vipaji vipya, akimtolea mfano nyota wa zamani wa timu hiyo, Didier Kavumbagu ambaye alisajiliwa baada ya kuonekana kwenye Kagame Cup. Bingwa wa msimu huu ataondoka na medali ya dhahabu, kombe na kitita cha dola 30,000, mshindi wa pili medali ya fedha na dola 20,000 wakati mshindi wa tatu atapewa dola 10,000 na medali ya shaba. The post TIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP, KUANZA SEPTEMBA 2 appeared first on Soka La Bongo.

Boti ya Kifahari Yazama Dakika 15 Baada ya Uzinduzi

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 04, 2025

NAFASI Za Kazi Azam TV

Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini

TIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP, KUANZA SEPTEMBA 2

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

Spika wa Zamani wa Bunge la Ukraine Andriy Parubiy Auwawa

  • 31 Aug 2025
  • 21
© Image Copyrights Title

Magu Yadhihirisha Kuelewa Ilani ya CCM 2025/2030

  • 30 Aug 2025
  • 24
© Image Copyrights Title

Majaliwa Azindua Matumizi ya Nishati Safi Kwenye Magereza

  • 30 Aug 2025
  • 19
© Image Copyrights Title

Raia wa Kigeni Akashutumiwa Baada ya Kumnywesha Tembo Bia

  • 29 Aug 2025
  • 23
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 21
Read all News
© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 21
© Image Copyrights Title

WAZIRI DKT. GWAJIMA AMWAKILISHA SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AKSON KWENYE HAFLA YA MISS UNIVERSE TANZANIA, 2025,

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 44
© Image Copyrights Title

WAZIRI MWITA AWATAKA WANAMITINDO KUIWAKILISHA VEMA NCHI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 85
© Image Copyrights Title

“KAMA WAO” YAINGIA MTAANI! MUGGA MO NA BANDO MC WAPIGA KAZI SAFI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 170
© Image Copyrights Title

ADONIJAH OWIRIWA ,  MTAYARISHAJI MKUU WA FESTAC ’77, ANASEMA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 64
© Image Copyrights Title

BASATA YA WAJENGEA UELEWA WA MIFUMO KUSOMANA MAAFIA UTAMADUNI NA BIASHARA MARA 

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 62
© Image Copyrights Title

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 56
© Image Copyrights Title

CDQ HATIMAYE AMEZINDUA VISUALIZER YA WIMBO MAARUFU “SUWE”

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 63
© Image Copyrights Title

MTANZANIA MWANAMUZIKI KAMANDA RAS MAKUNJA KUTUNIKIWA TUZO YA “Ambassodor of African Culture” NCHINI UJERUMANI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 67
© Image Copyrights Title

UZINDUZI WA HEINEKEN SILVER WATIKISA CHINI YA ARDHI KWA MBWEMBWE ZA KIPEKEE

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 60

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

TIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP, KUANZA SEPTEMBA 2

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 23
Read all News
© Image Copyrights Title

TIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP, KUANZA SEPTEMBA 2

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 23
© Image Copyrights Title

MWISHOOO….AZAM WAGONGELEA MSUMARI KAULI YA SIMBA KWA FEI TOTO….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 22
© Image Copyrights Title

KANUNI MPYA TFF….SIMBA, YANGA KUCHEZESHWA NA REFA KUTOKA NNJE…MAPRO WOTE RUKSA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 18
© Image Copyrights Title

BAADA YA KAMBI YA MISRI KUISHA…FADLU KAKUNA KICHWA WEE…KISHA AKASEMA HAPA BADO…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 18
© Image Copyrights Title

OHHH….UMESIKIA YA FADLU HUKO😂😂 …JAMAA BADO ANATAKA MSHAMBULIAJI…AITAJA YANGA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 29
© Image Copyrights Title

PAMOJA NA OFA YA BIL 2 MEZANI ….HIZI HAPA SABABU ZA NDAANI KABISA MZIZE KUBAKI YANGA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 25
© Image Copyrights Title

BAADA YA RATIBA KUTOKA…HIZI HAPA TAREHE ZOTE ZA DABI KWA MSIMU HUU….YANGA KAMA KAWA..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 22
© Image Copyrights Title

KUELEKEA MSIMU MPYA ….FADLU AITILIA NGUMU CAF MAPEMAAH….AFUNGUKA ISHU YA ZNZ……

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 39
© Image Copyrights Title

WAKATI SIMBA WAKIIPIGA JICHO TAREHE 16…..MPANGOWA YANGA HUU HAPA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 25
© Image Copyrights Title

BAADA ATEBA KUUZWA SIMBA…EDO KUMWEMBE ATUPA DONGO KWA FADLU….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 24
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook