Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Thailand Yampata Waziri Mkuu Mpya Baada ya Msukosuko wa Kisiasa

Bunge la Thailand limemchagua mfanyabiashara Anutin Charnvirakul kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, ikiwa ni kiongozi wa tatu kushika nafasi hiyo katika kipindi cha miaka miwili. Anutin, ambaye ni kiongozi wa chama cha Bhumjaithai, alipata uungwaji mkono wa kutosha bungeni baada ya chama chake kujitenga na muungano wa Pheu Thai uliokuwa ukiongozwa na Paetongtarn Shinawatra. Wiki iliyopita, Mahakama ya Kikatiba ilimuondoa Paetongtarn madarakani kwa tuhuma za ukiukaji wa maadili katika namna alivyoshughulikia mzozo wa mpaka kati ya Thailand na Cambodia. Wachambuzi wanasema kuteuliwa kwa Anutin ni pigo kubwa kwa familia ya Shinawatra, ambayo imekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Thailand tangu mwaka 2001, alipokuwa Waziri Mkuu Thaksin Shinawatra, baba wa Paetongtarn. Hata hivyo, wachambuzi pia wanatahadharisha kuwa huenda changamoto za kisiasa zikaendelea, kwani taifa hilo limezoea migogoro ya mara kwa mara ikiwemo kuondolewa kwa viongozi kupitia maamuzi ya mahakama na mapinduzi ya kijeshi.

SIMBA MPYA HII HAPA….MO DEWJI AJIWEKA KANDO…TRY AGAIN APIGWA CHINI…MAGORI, BARBARA WAULA…

Simba imefanya mabadiliko makubwa ya Bodi ya Wakurugenzi baada ya mwekezaji Mohammed Dewji ‘MO’ akijiweka kando, huku akimteua Crescentius Magori kuchukua nafasi hiyo, ilihali CEO wa zamani wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez akirejea klabuni. Mabadiliko hayo ambayo yametangazwa dakika chache zilizopita, MO mbali na Magori aliyewahi kuwa, Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo na mshauri wa Mo Dewji ameteua sura mpya nne, huku watatu wakitoka Bodi iliyopita. Wajumbe wapya wanne katika Bodi hiyo ni pamoja na mfadhili wa zamani wa Simba, Azim Dewji aliyekuwa Mwenyekiti wa zamani, Swedy Mkwabi, aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez na George Ruhango. Barbara alitangaza kujiuzulu Simba Desemba, 2022 japo nafasi hiyo ya Mtendaji Mkuu aliiacha rasmi Januari 10, 2023 akiwa mmoja ya viongozi walioweka heshima klabuni hapo, hasa kwa mafanikio ya Simba kimataifa. Wengine ni Zuly Chandoo, wakati Rashid Shangazi na Hussein Kitta wakiendelea kwenye Bodi hiyo. Kwenye Uteuzi huo jina kubwa lililoshtua likikosekana ni Salim Mhene ‘Try Again’ aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo. Taarifa hiyo haijaweka wazi sababu za kuondolewa kwa Try Again ambaye alikuwa Mjumbe aliyedumu kwa muda mrefu kabla ya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji. The post SIMBA MPYA HII HAPA….MO DEWJI AJIWEKA KANDO…TRY AGAIN APIGWA CHINI…MAGORI, BARBARA WAULA… appeared first on Soka La Bongo.

NAFASI Za Kazi Azam TV

NAFASI Za Kazi Azam TV NAFASI Za Kazi Azam TV Azam TV is offering an exciting career opportunity for a LED Perimeter Technician. This role is perfect for individuals with strong technical skills, hands-on experience in LED systems, and the ability to work under pressure to ensure flawless performance during live events. Job Purpose The LED Perimeter Technician will be responsible for ensuring smooth operation, troubleshooting, preventive maintenance, and timely replacement of LED perimeter boards and related components. The goal is to guarantee uninterrupted display quality during live productions, sports events, and commercial broadcasts. Key Responsibilities 1.Operation & Monitoring Monitor LED perimeter screens during events for uninterrupted performance. Verify input signals from media servers, video processors, and related devices. Ensure proper synchronization between sending/receiving cards, media converters, and control systems 2.Troubleshooting & Repairs Diagnose and resolve faults in LED modules, power/data cables, and sending/receiving cards. Perform on-site diagnostics for issues like pixel drops, mismatches, or signal loss. Replace defective components promptly with minimal downtime. 3. Routine & Preventive Maintenance Conduct inspections of LED panels, cabling, and power systems. Implement cooling systems and cleaning measures to prevent faults. Keep accurate reports on maintenance and repairs. 4.Upgrades & Replacement Advisory Recommend replacements for aging LED modules and components. Advise on spare parts management and inventory. Support software updates, firmware upgrades, and calibration of LED boards. 5. Technical Coordination Work closely with engineers, IT, and operations teams. Ensure seamless integration of LED systems with video processors and broadcast feeds. Assist in setup, dismantling, and reconfiguration of LED perimeter systems. 6.Compliance & Safety Follow safety standards for handling electronic/electrical equipment. Ensure compliance with venue and broadcast operational requirements. Key Skills & Competencies Strong knowledge of LED display systems and sending/receiving cards (e.g., NovaStar, ColorLight, Linsn). Hands-on experience with video processors, media converters, and signal distribution. Ability to troubleshoot and resolve hardware/software issues quickly. Familiarity with Ethernet, fiber optics, SDI/HDMI/DVI connections. Good understanding of preventive maintenance for electronic equipment. Strong reporting and communication skills. Flexible with working hours, including nights, weekends, and event days. Qualifications & Experience Diploma/Degree in Electronics, Electrical Engineering, Broadcast Technology, or related fields. Minimum 2–3 years’ experience working with LED display systems (preferably in live broadcast or sports environments). Experience with LED perimeter advertising systems will be an added advantage. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Azam TV. Join Azam TV today and be part of a dynamic team ensuring the best in live broadcast technology! Interested candidates should submit their CV to: recruitment@azam-media.com, Ensure you indicate the job title in the subject line of your email Deadline is 6th September 2025.

Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini

Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta Septemba 2025Download The post Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini appeared first on SwahiliTimes.

Thailand Yampata Waziri Mkuu Mpya Baada ya Msukosuko wa Kisiasa

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 06, 2025

SIMBA MPYA HII HAPA….MO DEWJI AJIWEKA KANDO…TRY AGAIN APIGWA CHINI…MAGORI, BARBARA WAULA…

NAFASI Za Kazi Azam TV

Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

NAFASI za Kazi Plan International Tanzania

  • 26 Aug 2025
  • 83
© Image Copyrights Title

NAFASI Za Kazi Karafu Enterprises LTD

  • 26 Aug 2025
  • 61
© Image Copyrights Title

Vodacom Yazindua Ripoti Ya ESG

  • 26 Aug 2025
  • 31
© Image Copyrights Title

NAFASI Za Kazi Sinoray Motorcycle

  • 26 Aug 2025
  • 38
© Image Copyrights Title

Wekundu wa Msimbazi Wasogeza Tarehe ya Hafla ya Jezi Mpya

  • 26 Aug 2025
  • 33
© Image Copyrights Title

CHADEMA Yamteua Gerva Lyenda Kuongoza Idara ya Habari

  • 26 Aug 2025
  • 19
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 23
Read all News
© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 23
© Image Copyrights Title

WAZIRI DKT. GWAJIMA AMWAKILISHA SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AKSON KWENYE HAFLA YA MISS UNIVERSE TANZANIA, 2025,

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 45
© Image Copyrights Title

WAZIRI MWITA AWATAKA WANAMITINDO KUIWAKILISHA VEMA NCHI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 88
© Image Copyrights Title

“KAMA WAO” YAINGIA MTAANI! MUGGA MO NA BANDO MC WAPIGA KAZI SAFI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 175
© Image Copyrights Title

ADONIJAH OWIRIWA ,  MTAYARISHAJI MKUU WA FESTAC ’77, ANASEMA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 67
© Image Copyrights Title

BASATA YA WAJENGEA UELEWA WA MIFUMO KUSOMANA MAAFIA UTAMADUNI NA BIASHARA MARA 

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 65
© Image Copyrights Title

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 59
© Image Copyrights Title

CDQ HATIMAYE AMEZINDUA VISUALIZER YA WIMBO MAARUFU “SUWE”

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 67
© Image Copyrights Title

MTANZANIA MWANAMUZIKI KAMANDA RAS MAKUNJA KUTUNIKIWA TUZO YA “Ambassodor of African Culture” NCHINI UJERUMANI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 71
© Image Copyrights Title

UZINDUZI WA HEINEKEN SILVER WATIKISA CHINI YA ARDHI KWA MBWEMBWE ZA KIPEKEE

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 63

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

SIMBA MPYA HII HAPA….MO DEWJI AJIWEKA KANDO…TRY AGAIN APIGWA CHINI…MAGORI, BARBARA WAULA…

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 56
Read all News
© Image Copyrights Title

SIMBA MPYA HII HAPA….MO DEWJI AJIWEKA KANDO…TRY AGAIN APIGWA CHINI…MAGORI, BARBARA WAULA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 56
© Image Copyrights Title

TIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP, KUANZA SEPTEMBA 2

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 26
© Image Copyrights Title

MWISHOOO….AZAM WAGONGELEA MSUMARI KAULI YA SIMBA KWA FEI TOTO….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 25
© Image Copyrights Title

KANUNI MPYA TFF….SIMBA, YANGA KUCHEZESHWA NA REFA KUTOKA NNJE…MAPRO WOTE RUKSA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 21
© Image Copyrights Title

BAADA YA KAMBI YA MISRI KUISHA…FADLU KAKUNA KICHWA WEE…KISHA AKASEMA HAPA BADO…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 21
© Image Copyrights Title

OHHH….UMESIKIA YA FADLU HUKO😂😂 …JAMAA BADO ANATAKA MSHAMBULIAJI…AITAJA YANGA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 32
© Image Copyrights Title

PAMOJA NA OFA YA BIL 2 MEZANI ….HIZI HAPA SABABU ZA NDAANI KABISA MZIZE KUBAKI YANGA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 28
© Image Copyrights Title

BAADA YA RATIBA KUTOKA…HIZI HAPA TAREHE ZOTE ZA DABI KWA MSIMU HUU….YANGA KAMA KAWA..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 25
© Image Copyrights Title

KUELEKEA MSIMU MPYA ….FADLU AITILIA NGUMU CAF MAPEMAAH….AFUNGUKA ISHU YA ZNZ……

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 41
© Image Copyrights Title

WAKATI SIMBA WAKIIPIGA JICHO TAREHE 16…..MPANGOWA YANGA HUU HAPA….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 27
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook