Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Katibu wa CCM Wilaya ya Mafia, Salehe Kikweo Afariki Dunia

  • 5
Scroll Down To Discover

Katibu wa CCM Wilaya ya Mafia, Salehe Kikweo, amefariki dunia leo asubuhi akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni.

Katibu wa CCM Handeni, Mayasa Kimbau, amethibitisha msiba huo na kusema jana walikuwa naye hadi jioni. Naye Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Handeni, Amiri Changogo, amesema mara ya mwisho kuzungumza na marehemu ilikuwa usiku jana ambapo alilalamika kuumwa na kupelekwa hospitalini, lakini jitihada za madaktari hazikufanikiwa.



Prev Post Alichokisema Rais Samia leo Baada ya kuapisha viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino – Video
Next Post Azania Bank Kuendelea Kutoa Huduma Bora Kwa Taasisi za Umma
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook