Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

DAWASA Yatoa Onyo: Mradi wa Usafi Mbezi Beach Kukamilika Bila Kusuasua

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire amemuagiza Mkandarasi wa Mradi wa Usafi wa mazingira Mbezi Beach Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) kuongeza nguvu ili kuukamilisha kwa wakati ili uanze kunufaisha Wananchi. Utekelezaji wa mradi huo unahusisha uchimbaji na ulazaji wa bomba kwa umbali wa kilomita 101, ujenzi wa vituo viwili vya kusukuma majitaka, ujenzi wa chemba 2,383 pamoja na mtambo wa kisasa wa kuchakata majitaka unaoendelea kujengwa eneo la Kilongawima ambao utekelezaji wake umefikia asilimia 86. Mhandisi Bwire ametoa maagizo hayo, alipotembelea mradi na kusema unaendelea vizuri lakini akimtaka mkandarasi kuhakikisha anaongeza nguvu zaidi ili uweze kukamilika muda uliopangwa. “Hadi sasa kazi ya ulazaji wa mtandao wa mabomba kwa umbali wa KM 101 pamoja na ujenzi wa vituo viwili vya kusukuma maji ipo mbioni kukamilika, lakini nimeridhishwa zaidi na kasi inayoendelea katika mtambo wa kuchakata majitaka ila niwasihi kasi hii iendelee ili mradi ukamilike kwa wakati na wananchi wanufaike,” amesema Mhandisi Bwire. Kwa upande wa mkandarasi kampuni ya Beijing Construction Engineering Group, Mhandisi Lee Whan ameshukuru kwa ushirikiano kutoka pande zote zinazotekeleza mradi huo na kuhakikisha unatekelezwa na kukamilika kwa muda uliopangwa. “Kwasasa kazi kubwa ipo katika ujenzi wa mtambo wa kuchakata majitaka, ujenzi umekwishaanza na unaenda kwa kasi, kazi ya usukaji wa nondo kwajili ya ujenzi wa mtambo inaendelea na kazi hii tunaifanya kwa nguvu kubwa tukilenga kukamilisha mradi kwa muda uliopangwa” ameeleza Mhandisi Whan.

KISA KIPA NA BEKI MPYA…FADLU AWATEGA MASTAA SIMBA…

KOCHA wa Simba, Fadlu Davids mjanja sana baada ya kupata uhakika ukuta wa timu hiyo umeimarika zaidi kwa kutua beki wa kati mwingine mpya, Wilson Nangu na kipa wa Taifa Stars, Yakoub Suleiman ametoa kauli inayoonekana kama mtego kwa mastaa. Kocha huyo amesema anawasubiri wachezaji hao kambini waungane na timu ili ajue namna ya kuwatumia, licha ya kujua uwezo waliouonyesha wakiwa JKT Tanzania na hata Stars. Simba imemalizana na nyota hao wawili waliokuwa Stars iliyoshiriki fainali za CHAN 2024 zilizoandaliwa kwa ushirikiano wa nchi tatu za Tanzania, Kenya na Uganda ikiwang’oa kutoka JKT Tanzania iliyowapa ‘thank you’ wiki iliyopita kuonyesha kuwa hawakuwa na maafande hao. Hata hivyo, juzi kocha Fadlu anayejiandaa kuiongoza kwa msimu wa pili mfululizo katika michuano ya msimu huu wa 2025-2026, amevunja ukimya na kusema anatambua viwango vya juu walivyoonyesha wachezaji hao wapya wakiwa na JKT msimu uliyopita, kitu kinachomwaminisha watafanya vizuri Ligi Kuu inayoanza Septemba 17. Nangu alimaliza na mabao mawili na asisti mbili, Yakoub akiwa na clean sheets nane, kila mmoja amesaini mkataba mpya wa kuitumikia timu hiyo ya Msimbazi, lakini walikuwa bado hawajajiunga kambini kutokana na jukumu ya timu ya taifa inayojiandaa na mechi za kuwania Fainali za Kombe la Dunia za 2026 ikitarajiwa kucheza mechi mbili – Septemba 5 na 9. Kutokana na hilo, kocha Fadlu alisema anawasubiri kuwaona kambini aungane nao, pamoja na kutambua uwezo walionao na awaliouonyesha wakiwa JKT Tanzania na hata Taifa Stars. “Ni wachezaji wazuri kwa kile nilichokiona wamekifanya katika ligi msimu uliyopita, kila mmoja kwa nafasi yake kipa ana umakini wa kuokoa hatari na beki anajitoa na anatumia nguvu,” alisema Fadlu. “Kuhisiana na wataongeza kitu gani kikosini, kwa sasa siwezi kulizungumzia hilo kwa sababu bado hawajaingia kambini, ningewaona katika mazoezi na wenzao ningekuwa na kitu kikubwa cha kuwaelezea. “Pamoja na hayo yote ninaamini ni vijana ambao wanajua kipi wanakitafuta katika mpira wa miguu, kwa namna ambavyo walikuwa wanapambana kuhakikisha wanaisaidia timu ya JKT Tanzania kufanya.” Kauli hiyo ni kama inawataka wachezaji hao wajipange vyema mara watakapotua kambini kwa vile watakuwa na kazi ya kumridhisha kocha huyo ili kumshawishi kupangua kikosi kwa wachezaji waliopo, kwani nyota hao wawili ni kati ya wachezaji ya 10 waliosajiliwa na timu hiyo hadi sasa. Kusajiliwa kwa Yakoub kunaenda kuziba pengo la Ally Salim anayetakiwa kuondoka na amebakiza mkataba wa miaka mitatu, hivyo alikuwa katika makubaliano ya kumalizana na viongozi wa klabu hiyo. Yakoub atakwenda kukabiliana na ushindani wa Moussa Camara, aliyemaliza kama kinara wa clean sheets akiwa na 19 sambamba na Hussein Abel, wakati Nangu nafasi ya beki ya kati anakwenda kushindana na Abdulrazack Hamza, Karaboue Chamou na Rushine de Reuck beki kutoka Sauzi. Msimu uliopita Simba ilimaliza nafasi ya pili katika Ligi Kuu na kufika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ikipotea mbele ya RS Berkane ya Morocco, ukuta wa timu hiyo ukiundwa na Camara, Shomary Kapombe, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ , Abdulrazaq Hamza na Fondoh Che Malone akisaidiana na Chamou. Malone na Tshabalala wametimika kikosi kwa sasa. UZI WA SIMBA Mabosi wa klabu hiyo juzi usiku walizindua uzi mpya wa msimu wa 2025-2026 katika hafla moja ya kishua iliyohudhuria na wageni mbalimbali wakiwamo vigogo wa klabu hiyo, ikiwa ni mwanzo wa maandalizi ya Wiki ya Simba Day itakayofanyika Septemba 10 kwa Mkapa. The post KISA KIPA NA BEKI MPYA…FADLU AWATEGA MASTAA SIMBA… appeared first on Soka La Bongo.

NAFASI Za Kazi Azam TV

NAFASI Za Kazi Azam TV NAFASI Za Kazi Azam TV Azam TV is offering an exciting career opportunity for a LED Perimeter Technician. This role is perfect for individuals with strong technical skills, hands-on experience in LED systems, and the ability to work under pressure to ensure flawless performance during live events. Job Purpose The LED Perimeter Technician will be responsible for ensuring smooth operation, troubleshooting, preventive maintenance, and timely replacement of LED perimeter boards and related components. The goal is to guarantee uninterrupted display quality during live productions, sports events, and commercial broadcasts. Key Responsibilities 1.Operation & Monitoring Monitor LED perimeter screens during events for uninterrupted performance. Verify input signals from media servers, video processors, and related devices. Ensure proper synchronization between sending/receiving cards, media converters, and control systems 2.Troubleshooting & Repairs Diagnose and resolve faults in LED modules, power/data cables, and sending/receiving cards. Perform on-site diagnostics for issues like pixel drops, mismatches, or signal loss. Replace defective components promptly with minimal downtime. 3. Routine & Preventive Maintenance Conduct inspections of LED panels, cabling, and power systems. Implement cooling systems and cleaning measures to prevent faults. Keep accurate reports on maintenance and repairs. 4.Upgrades & Replacement Advisory Recommend replacements for aging LED modules and components. Advise on spare parts management and inventory. Support software updates, firmware upgrades, and calibration of LED boards. 5. Technical Coordination Work closely with engineers, IT, and operations teams. Ensure seamless integration of LED systems with video processors and broadcast feeds. Assist in setup, dismantling, and reconfiguration of LED perimeter systems. 6.Compliance & Safety Follow safety standards for handling electronic/electrical equipment. Ensure compliance with venue and broadcast operational requirements. Key Skills & Competencies Strong knowledge of LED display systems and sending/receiving cards (e.g., NovaStar, ColorLight, Linsn). Hands-on experience with video processors, media converters, and signal distribution. Ability to troubleshoot and resolve hardware/software issues quickly. Familiarity with Ethernet, fiber optics, SDI/HDMI/DVI connections. Good understanding of preventive maintenance for electronic equipment. Strong reporting and communication skills. Flexible with working hours, including nights, weekends, and event days. Qualifications & Experience Diploma/Degree in Electronics, Electrical Engineering, Broadcast Technology, or related fields. Minimum 2–3 years’ experience working with LED display systems (preferably in live broadcast or sports environments). Experience with LED perimeter advertising systems will be an added advantage. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Azam TV. Join Azam TV today and be part of a dynamic team ensuring the best in live broadcast technology! Interested candidates should submit their CV to: recruitment@azam-media.com, Ensure you indicate the job title in the subject line of your email Deadline is 6th September 2025.

Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini

Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta Septemba 2025Download The post Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini appeared first on SwahiliTimes.

DAWASA Yatoa Onyo: Mradi wa Usafi Mbezi Beach Kukamilika Bila Kusuasua

KISA KIPA NA BEKI MPYA…FADLU AWATEGA MASTAA SIMBA…

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 06, 2025

NAFASI Za Kazi Azam TV

Bei ya mafuta yashuka, hizi ni gharama mpya kwa mikoa yote nchini

Lastest News

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

NAFASI KUBWA YA KUONDOKA NA MSHINDO IPO HAPA….

  • 19 Aug 2025
  • 67
© Image Copyrights Title

NAFASI 6 Za Financial Advisors Wealth Capital Fund Limited

  • 18 Aug 2025
  • 97
© Image Copyrights Title

NAFASI 6 Za DSE Stocks Traders Wealth Capital Fund Limited

  • 18 Aug 2025
  • 160
© Image Copyrights Title

Nafasi 129 za Ajira Serikalini

  • 18 Aug 2025
  • 91
© Image Copyrights Title

Sababu ya Ndoa za Sasa Kuvunjika Mapema

  • 18 Aug 2025
  • 69
© Image Copyrights Title

Mwenyekiti wa BAWACHA Serengeti ajiunga ACT Wazalendo

  • 17 Aug 2025
  • 98
© Image Copyrights Title

Kwa Nini Kula Karoti ni Muhimu kwa Afya ya Macho

  • 17 Aug 2025
  • 83
Read more News

Burudani

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 25
Read all News
© Image Copyrights Title

MSANII BILL NASS ALIVYOWAIMBISHA WANANCHI KONDOA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 25
© Image Copyrights Title

WAZIRI DKT. GWAJIMA AMWAKILISHA SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AKSON KWENYE HAFLA YA MISS UNIVERSE TANZANIA, 2025,

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 46
© Image Copyrights Title

WAZIRI MWITA AWATAKA WANAMITINDO KUIWAKILISHA VEMA NCHI KATIKA LUGHA YA KISWAHILI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 89
© Image Copyrights Title

“KAMA WAO” YAINGIA MTAANI! MUGGA MO NA BANDO MC WAPIGA KAZI SAFI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 176
© Image Copyrights Title

ADONIJAH OWIRIWA ,  MTAYARISHAJI MKUU WA FESTAC ’77, ANASEMA

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 68
© Image Copyrights Title

BASATA YA WAJENGEA UELEWA WA MIFUMO KUSOMANA MAAFIA UTAMADUNI NA BIASHARA MARA 

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 66
© Image Copyrights Title

MAJALIWA: SANAA INAMCHANGO MKUBWA KATIKA KUKUZA UCHUMI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 59
© Image Copyrights Title

CDQ HATIMAYE AMEZINDUA VISUALIZER YA WIMBO MAARUFU “SUWE”

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 67
© Image Copyrights Title

MTANZANIA MWANAMUZIKI KAMANDA RAS MAKUNJA KUTUNIKIWA TUZO YA “Ambassodor of African Culture” NCHINI UJERUMANI

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 71
© Image Copyrights Title

UZINDUZI WA HEINEKEN SILVER WATIKISA CHINI YA ARDHI KWA MBWEMBWE ZA KIPEKEE

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 63

Michezo

Don't miss daily news

© Image Copyrights Title

KISA KIPA NA BEKI MPYA…FADLU AWATEGA MASTAA SIMBA…

Lorem ipsum dosectetur adipisicing elit, sed do.Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur Nulla fringilla purus at leo dignissim congue. Mauris elementum accumsan leo vel tempor.

  • 8
Read all News
© Image Copyrights Title

KISA KIPA NA BEKI MPYA…FADLU AWATEGA MASTAA SIMBA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 8
© Image Copyrights Title

SIMBA MPYA HII HAPA….MO DEWJI AJIWEKA KANDO…TRY AGAIN APIGWA CHINI…MAGORI, BARBARA WAULA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 59
© Image Copyrights Title

TIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP, KUANZA SEPTEMBA 2

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 26
© Image Copyrights Title

MWISHOOO….AZAM WAGONGELEA MSUMARI KAULI YA SIMBA KWA FEI TOTO….

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 25
© Image Copyrights Title

KANUNI MPYA TFF….SIMBA, YANGA KUCHEZESHWA NA REFA KUTOKA NNJE…MAPRO WOTE RUKSA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 22
© Image Copyrights Title

BAADA YA KAMBI YA MISRI KUISHA…FADLU KAKUNA KICHWA WEE…KISHA AKASEMA HAPA BADO…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 21
© Image Copyrights Title

OHHH….UMESIKIA YA FADLU HUKO😂😂 …JAMAA BADO ANATAKA MSHAMBULIAJI…AITAJA YANGA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 32
© Image Copyrights Title

PAMOJA NA OFA YA BIL 2 MEZANI ….HIZI HAPA SABABU ZA NDAANI KABISA MZIZE KUBAKI YANGA…

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 28
© Image Copyrights Title

BAADA YA RATIBA KUTOKA…HIZI HAPA TAREHE ZOTE ZA DABI KWA MSIMU HUU….YANGA KAMA KAWA..

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 27
© Image Copyrights Title

KUELEKEA MSIMU MPYA ….FADLU AITILIA NGUMU CAF MAPEMAAH….AFUNGUKA ISHU YA ZNZ……

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit, sed do eiusmod tempor incididunt .

  • 43
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook