Mtu mmoja amefariki, na watu 4 kati ya 25 waliofukiwa na vifusi katika mgodi mdogo wa madini ya dhahabu mkoani Shinyanga nchini Tanzania wameokolewa wakiwa hai. Mgodi huo uliporomoka wakati zoezi la ukarabati wa mashimo lilipokuwa likiendelea.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!