Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wasichana Zaidi Ya 3370 Wanufaika Na Programu Ya Kompyuta Code Like A Girl

  • 2
Scroll Down To Discover

Vodacom Tanzania ikishirikiana na D Lab imewapa vyeti wasichana walioshiriki Program ya Code Like A Girl, ambapo mpaka sasa mabinti zaidi ya 3370 nchini wamehitimu kwenye program hiyo inayolenga kukuza uelewa wa wanafunzi wa kike katika masomo ya Sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STEM).

Akizungumza na wanahabari, mtaalamu wa mafunzo na vijana kutoka Vodacom Tanzania Plc, Bw.Samwel Komba amesema lengo ni kukuza uelewa wa wanafunzi wa kike katika masomo Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) ambapo wasichana wanajifunza mambo mbali mbali ikiwemo kutengeneza website na siku ya leo wamewakilisha kile ambacho wamejifunza na kukionyesha.

Graduate of the Coding program, Lairati Yahya, presenting her group’s project during the climax of the Code Like a Girl training in Dar es Salaam. The program is run by dLab with sponsorship from Vodacom Tanzania PLC, aiming to educate and inspire girls to pursue studies in Science, Technology, Engineering, and Mathematics (STEM). So far, more than 3,370 girls have graduated from this training in the country.

Nae, mmoja wa wanafunzi aliyehitimu mafunzo hayo, Kurthum Hassan ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu, amesema kuwa amefurahi kwa Kampuni ya Vodacom Tanzania kuwapatia mafunzo hayo kwa sababu wamepata kujifunza namna ya kutumia komputa kwa undani zaidi kupitia mafunzo ameweza kutengeneza vitu mbalimbali ikiwemo kutengeneza website na kuposti vitu mbalimbali.

The post Wasichana Zaidi Ya 3370 Wanufaika Na Programu Ya Kompyuta Code Like A Girl appeared first on SwahiliTimes.



Prev Post Shamba Langu Lilikuwa Linakauka Kila Msimu, Lakini Suluhisho Niliyojaribu Iliniletea Mavuno Maradufu
Next Post BOT YASHINDA TUZO YA UBUNIFU HUDUMA JUMUISHI ZA FEDHA DUNIANI 
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook