
Kila msimu wa mvua ulikuwa mateso makubwa kwangu. Nilikuwa nalima mazao ya mahindi na maharagwe kila mwaka lakini shamba langu lilikuwa linakauka ghafla bila sababu ya wazi.
Wakati majirani zangu walivuna mifuko mingi ya mazao, mimi nilibaki na mazao machache yasiyotosha hata chakula cha familia. Nilijaribu kila njia mbolea za dukani, mbegu za kisasa, hata kuajiri wataalam wa kilimo, lakini bado shamba langu lilibaki kuwa bovu.
Hali hii ilinifanya nipate hasara kubwa. Nilikuwa natumia hela nyingi kununua pembejeo na kulipa vibarua lakini mwisho wa siku nilipata hasara. Wengine walidhani labda mimi ni mzembe au sijui kulima vizuri. Wengine walisema labda nimerogwa. Nilianza kuamini huenda kweli kuna nguvu zisizo za kawaida zinanizuia nisifanikiwe.SOMA ZAIDI
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!