Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Mwigulu Asafiri kwa SGR Kutoka Dodoma Hadi Dar – Picha

  • 36
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, leo Aprili 2, 2026 amesafiri kwa treni ya reli ya kisasa (SGR) akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya kikazi.

Katika safari hiyo, Dkt. Mwigulu ameambatana na mkewe, Mama Neema Mwigulu Nchemba, ambapo walionekana wakitumia huduma ya treni hiyo ya kisasa inayozidi kuimarisha usafiri wa haraka na salama nchini.

Safari ya SGR inaendelea kuwa chaguo muhimu kwa viongozi na wananchi kwa ujumla kutokana na ufanisi wake, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali kuboresha miundombinu ya usafiri na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.

The post Waziri Mkuu Mwigulu Asafiri kwa SGR Kutoka Dodoma Hadi Dar – Picha appeared first on Global Publishers.



Prev Post Rais Samia Afanya Uteuzi, Utenguzi, Uhamisho wa Viongozi, Angellah Kizigha Ateuliwa Mbunge
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 03, 2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook