
Meridianbet kwa kushirikiana na Airtel Money wamekuja na ofa ya kipekee kwa wateja wote wanaotumia Airtel Money kuweka pesa kwenye akaunti zao za Meridianbet. Sasa una nafasi ya kujishindia zawadi kubwa kama Bajaj mpya, safari ya siku mbili kwenda Zanzibar, TV ya Hisense, simu za kisasa za Samsung A25, pamoja na free spins 250 kila siku kwenye kasino.
Ili kushiriki, unachotakiwa kufanya ni kuweka deposit ya TZS 25,000 au zaidi kupitia Airtel Money, na kisha kubashiri michezo au kucheza kasino kwa kiasi hicho hicho au zaidi. Unapofanya hivi, utaingia moja kwa moja kwenye droo za kushinda zawadi mbalimbali huku nafasi yako ikiongezeka kwa kila unavyoshiriki. Na wachezaji wote wanaoweka angalau TZS 25,000 kwa siku kupitia Airtel Money watajipatia free spins 250 kwenye mchezo wa kasino wa PIA kila siku. Hii ni zawadi ya papo hapo kwa kila muamala.
Zaidi ya hapo, Meridianbet itawazawadia wachezaji walio na idadi kubwa ya miamala na kiasi kikubwa cha pesa kilichowekwa kupitia Airtel Money huku jumla ya simu 20 aina ya Samsung A25 zikitolewa wakati wa kampeni.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kwa wale ambao bahati haikuwa upande wao wiki husika, bado kuna matumaini. Meridianbet itarudisha 10% ya jumla ya hasara zako kutoka Jumatatu hadi Jumapili kama bonus, hadi kiwango cha juu cha TZS 2,500,000. Bonus hii inapatikana kila wiki kwa wote waliokidhi masharti.
Zawadi kuu za promosheni hii ni Bajaj mpya, safari ya Zanzibar kwa watu wawili, na TV ya Hisense. Zawadi hizi zitatolewa kupitia droo za bahati nasibu zitakazofanyika kwenye makao makuu ya Meridianbet yaliyopo Upanga. Kila droo itakuwa ya wazi na ya haki, na mshindi atatangazwa hadharani.
Promosheni hii imeanza tarehe 23 Mei 2025 na itaendelea hadi 23 Agosti 2025 saa 5:59 usiku. Ili kushiriki, lazima uwe na umri wa miaka 18 au zaidi na uwe na akaunti ya Meridianbet. Pia, ni lazima pesa iwe imewekwa kupitia Airtel Money (Menu au Push). Turbocash na tiketi za system hazitakubalika katika masharti ya free spins.
Wachezaji wanaweza kushinda zawadi zaidi ya moja ndani ya kipindi chote cha promosheni, ila kwa kila droo mmoja atapata zawadi moja tu. Free spins zinaweza kugeuzwa hadi TZS 20,000 tu kuwa pesa halisi. Ili kudai zawadi yoyote, mshindi atalazimika kuwasilisha kitambulisho halali na ushahidi wa makazi.
Wakati wako ni sasa, kwa kutumia laini yako ya Airtel, anza kufanya miamala ya meridianbet na kushiriki michezo mbalimbali pamoja na kasino mtandaoni ili uwe mmoja wa washindi wengi watakaotangazwa kwenye droo hii kubwa Zaidi nchini Tanzania.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!