
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama kinampongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa uamuzi wake wa kutangaza kutogombea ubunge kwa hiyari yake huku akieleza kuwa amefanya mambo mengi makubwa kwa kipindi chote cha miaka 10 alichotumikia nafasi ya uwaziri mkuu.
Makalla ameyasema hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!