Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Amteua Gilead Teri Kuongoza Mamlaka Mpya ya Uwekezaji (TISEZA)

  • 49
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority – TISEZA).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bw.Gilead John Teri ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo iliyoanzishwa kufuatia kutungwa kwa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Na. 6 ya Mwaka 2025.



Prev Post Real Madrid vs Juventus Kukupatia Mshiko Mara 2 Leo
Next Post Kesi Ya Tundu Lissu Yaahirishwa Hadi Julai 15, 2025 – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook