
Michuano ya Kombe la Dunia ngazi ya vilabu inaendelea ambapo timu mbalimbali zinawania kucheza hatua ya Robo Fainali. Wakali wa ODDS KUBWA Tanzania, Meridianbet wanakwambia hivi ukibashiri mechi hii ya Real vs Juve unaweza kupata bonasi hadi ya elfu sitini.
Meridianbet wamekuweka chaguo hili la GG&3+ kwenye mechi hii ya Real Madrid vs Juve ili usitoke kapa, kwani mechi za kubashiri kubwa zile hazipo nyingi. Weka dau lako unalotaka uibuke na bonasi ya uhakika kabisa.
Timu zote zinataka kusonga mbele kwenye hatua inayofuata ya Robo Fainali huku nafasi ya kwenda mbele ndani ya Meridianbet akipewa Alonso na vijana wake kwa ODDS kwa 1.87 kwa 4.30. Je nani anaondoka na ushindi leo?. Suka jamvi mechi hii.
Lakini pia ikumbukwe hawa wote wana makocha wapya hivyo kila kocha anataka kuonesha umwamba wake mbele ya mwenzake. Je ni Tudor au Xabi kutamba leo katika dimba la Hard Rock?
Pia Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
SHERIA ZA PROMOSHENI HII
- Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
- Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 01 mwezi Julai 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
- Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Real Madrid vs Juventus kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,
BONASI YA 1
Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za Real Madrid vs Juventus kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).
Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya Real Madrid vs Juventus lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.
BONASI YA 2
Kama mchezo wa Real vs JuventuS ukimalizika 0-0
- Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.
- Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Bashiri sasa.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!