Arusha, Jumamosi, 28 Juni 2025 – Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Dar es Salaam, Paul Makonda, ameibuka kwa kishindo leo baada ya kuchukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!