Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Akutana na Viongozi wa Simba na Yanga Ikulu Chamwino

  • 32
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
tarehe 13 Juni, 2025.

Mazungumzo ya Rais Samia na Viongozi wa vilabu hivyo vikubwa, shindani na vikongwe nchini Tanzania, vikijizolea mamilioni ya mashabiki na wanachama yanakuka wakati huu ambao kumekuwa na mvutano mkubwa kuhusu Mchezo wao wa ligi kuu Tanzania bara ambapo kila mmoja amekuwa na msimamo wake suala ambalo limetatanisha uwepo wa mchezo wao Jumapili hii mara baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo hapo awali.



Prev Post Msaidizi Wa DC Arusha Apigwa Jiwe Akiwatuliza Wananchi Wasifunge Barabara – Video
Next Post Jirani Aliyeshiriki Maziko Ya ‘Ronaldo’ Asimulia ”Kulikuwa Na Shida Inamsumbua” – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook