Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Jirani Aliyeshiriki Maziko Ya ‘Ronaldo’ Asimulia ”Kulikuwa Na Shida Inamsumbua” – Video

  • 32
Scroll Down To Discover


Mwanadada Hazara almaarufu Ronaldo, hatunaye tena duniani. Amefikwa na mauti kwa upweke mkubwa kiasi cha mwili wake kukutwa ndani ukiwa umeanza kuharibika.

Mjumbe wa mtaa aliokuwa anaishi, anafunguka jinsi walivyomkuta ndani akiwa amefariki dunia kwenye chandarua.

Enzi za uhai wake, Hazara amewahi kupostiwa na Rais Donald Trump wa Marekani.



Prev Post Rais Samia Akutana na Viongozi wa Simba na Yanga Ikulu Chamwino
Next Post TUMIA AIRTEL PUSH KUPATA BONASI ZA KIBABE MERIDIANBET…
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook