Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mwanzilishi wa CHAUMMA Eugene Kabendera Ajiunga na CHADEMA

  • 77
Scroll Down To Discover

ALIYEKUWA mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Eugene Kabendera.

ALIYEKUWA mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Eugene Kabendera Jumatano, Juni 4, 2025 ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Kabendera ametambulishwa mbele ya waandishi wa habari na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Aman Golugwa, makao makuu ya CHADEMA, Mikocheni jijini Dar es Salaam.

“Ametuonesha utayari wa kuyasema
yaliyomjaa moyoni mwake,” amesema Golugwa.

Kabendera ameishukuru Chaumma kwa nafasi waliyompa katika kipindi chote akiwa huko na sasa ameamua kuhamia CHADEMA, baada ya kuona mwelekeo wa chama hicho
umebadilika.



Prev Post Gari la Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Wapata Ajali – Video
Next Post Fainali ya Yanga, Singida Black Stars Kupigwa New Amaan
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook