Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Fainali ya Yanga, Singida Black Stars Kupigwa New Amaan

  • 41
Scroll Down To Discover

FAINALI ya Kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars imepangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Amaan huko Unguja, Zanzibar.

Mchezo unatarajiwa kupigwa Juni 28, mwaka huu huko Zanzibar ambako timu hizo mara ya mwisho kukutana kwenye uwanja huo katika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara mchezo uliomalizika kwa Yanga kushinda bao 1-0 lililofungwa na Pacome Zouzoua.

Yanga imefuzu kucheza fainali hiyo baada ya kuwaondoa JKT Tanzania katika mchezo wa nusu huku Singida Black Stars ikiwaondoa Simba.

Stori na Wilbert Moland, GPL

 



Prev Post Mwanzilishi wa CHAUMMA Eugene Kabendera Ajiunga na CHADEMA
Next Post Puma Energy Yaanzisha Nishati Safi ya Mradi wa Umeme wa Jua kwa Kiwanda cha Alliance One Tanzania Tobacco Limited
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook