Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Gari la Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Wapata Ajali – Video

  • 28
Scroll Down To Discover

Gari la muziki lililokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema), John Heche limepata ajali alfajiri ya leo katika maeneo ya Msamvu, Morogoro.

Gari hilo lilikuwa likielekea Kivukoni – Ulanga, Igima – Mlimba, na Ifakara Mjini – Kilombero kwa ajili ya kuanza ziara kwenye mikoa hiyo.

Inaelezwa kuwa gari hilo lilikuwa likiendeshwa na Twaha Mwaipaya na waliopata ajali wamejeruhiwa na wamekimbizwa hospitalini kwa uangalizi zaidi wa kiafya.

 



Prev Post Sheikh Ponda Ajiunga na ACT Wazalendo – (Picha +Video)
Next Post Mwanzilishi wa CHAUMMA Eugene Kabendera Ajiunga na CHADEMA
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook