Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Akishiriki Harambee Ujenzi Wa Kituo Cha Watoto Wenye Mahitaji Maalu KKKT (Picha +Video)

  • 8
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre tarehe 05 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025.

Rais Samia akiwa pamoja na Kwaya Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kimara wakati ikiimba kwenye Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Juni, 2025.

 



Prev Post Shilingi 5000 Kukupatia Samsung A25 na Meridianbet
Next Post Rais Mstaafu Wa Zambia, Edgar Lungu Afariki Dunia
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook