



Msafara wa Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA. Amos Makalla umesimamishwa na wananchi wa eneo la Mto wa Mbu mkoani Arusha ambapo alikuwa njiani kuelekea Wilayani Karatu ambako amefanya mkutano wa hadhara. Akiwa hapo amewashukuru wananchi wa eneo hilo kwa mapokezi makubwa na akawaeleza kuwa;
Wakati Tanzania ikijiandaa kwa ajili ya kufanya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Ubunge na Udiwani Oktoba Mwaka huu, Chama cha mapinduzi (CCM) kitaendelea kudumisha amani na akawataka Watanzania kuendelea kuilinda Tunu ya Amani iliyopo nchini, huku kikisisitiza kwamba Taifa liko Salama kwenye mikono ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!