Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Ruto Aomba Radhi Kwa Tanzania Kwa Kinachoendelea – Video

  • 5
Scroll Down To Discover

 

Rais wa Kenya, William Ruto amewaomba radhi Watanzania na kueleza kwamba kama kuna jambo Wakenya wamekosewa, wasamehewe.

Pia amewaomba radhi wananchi wa Uganda kama kuna jambo ambalo wamewakosea na kueleza kuwa Kenya inataka kuwa na uhusiano imara na majirani zake.

Kauli hiyo inakuja katika kipindi ambacho kumekuwa na mvutano mkubwa hususan kwenye mitandao ya kijamii, kufuatia wanaharakati kutoka Kenya kuzuiwa kuingia nchini.



Prev Post Uturuki Waanza Mchakato Wa Kuandika Katiba Mpya, Wataalamu Wa Sheria Kuanza Mchakato
Next Post Rais Ruto Aomba Radhi Kwa Tanzania Kwa Kinachoendelea – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook