Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) imeweka kambi ya kutoa huduma ya Kliniki ya Biashara kwa wafanyabiashara wa Kariakoo.

  • 5
Scroll Down To Discover

Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) imeweka kambi ya kutoa huduma ya Kliniki ya Biashara kwa wafanyabiashara wa Kariakoo.

Kliniki hiyo imelenga kuwahudumia wafanyabiashara wa Kariakoo ili kuweza kuwatatulia changamoto mbalimbali za kiusajili pamoja na zile za Kitehama

Mbali na utatuzi wa changamoto hizo, pia imetumia kliniki hiyo kuwasaidia wafanyabiashara wa Kariakoo kurasimisha biashara zao kwa kuwasajili Majina ya Biashara, Kampuni, Alama ya Biashara pamoja na Leseni za Biashara

Pia ukaguzi elimishi utafanyika kwenye maduka ya wafanyabiashara ili kuwapa elimu juu ya umuhimu wa kuwa na Leseni ya Biashara Kundi A hasa kwa wale wanaofanya biashara yenye sura ya Kimataifa



Prev Post Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) imeweka kambi ya kutoa huduma ya Kliniki ya Biashara kwa wafanyabiashara wa Kariakoo.
Next Post Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi Makao Makuu Ya Chama Cha Mapinduzi – (Picha +Video)
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook