Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Asafiri kwa SGR Kutoka Dar Hadi Dodoma – Picha

  • 41
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.



Prev Post John Heche Aitisha Balaza Kuu na Kamati Kuu Chadema
Next Post Rais Samia Ashiriki Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Chamwino, Dodoma
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook