Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Ashiriki Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Chamwino, Dodoma

  • 36
Scroll Down To Discover

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akionyesha kadi yake ya mpiga kura mara baada ya kushiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.
Rais Samia akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma ambapo pia aliwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma ambapo pia aliwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari hilo.

 



Prev Post Rais Samia Asafiri kwa SGR Kutoka Dar Hadi Dodoma – Picha
Next Post PAMOJA NA FIGISU ZA WAARBU…..REFA MWENYE ‘KISMATI’ NA SIMBA KUPULIZA FILIMBI LEO…
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook