Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Polisi Wakamata Watano Kuhusishwa na Mauaji ya Mwenyekiti wa Kijiji Bubale

  • 49
Scroll Down To Discover

Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linaendelea na uchunguzi wa mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti Mstaafu wa Kijiji cha Bubale, Kata ya Kakunyu, Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi mkoani humo, Erneus Kiza, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akirudi nyumbani kwake.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda, amesema kuwa hadi sasa wamewakamata watu watano kwa ajili ya uchunguzi wa tukio hilo, na uchunguzi ukikamilika, watapelekwa mahakamani.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by globalpublishers (@globaltvonline)



Prev Post Mchambuzi Aonya: CHADEMA Kukosa Mwelekeo Endapo Mpasuko Hautashughulikiwa – Video
Next Post Rais Wa Finland Atembelea Mradi Kuwezesha Wanawake Machinga Complex
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook