Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Majaliwa Ahani Msiba Wa Cleopa David Msuya

  • 5
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Mei 8, 2025 amehani msiba wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya, Upanga Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na wanafamilia pamoja na waombolezaji wengine, Mheshimiwa Majaliwa, amewasihi kuendelea kumuombea Mhe. Msuya na wawe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu.

Marehemu Cleopa Msuya alifariki Mei 07, 2025 katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu.

 



Prev Post Moshi Mweupe Waonekana: Kanisa Katoliki Lapata Papa Mpya – Live Video
Next Post Uchaguzi wa Papa wa 267: Moshi Mweusi Waendelea Kutanda Sistine Chapel
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook