Moshi mweupe waonekana! Kanisa Katoliki limepata Papa mpya baada ya Makadinari 133 kupiga kura katika Kanisa la Sistine ndani ya Vatican. Hivi karibuni, atajitokeza kwenye dirisha kuu la Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro.
At one extremity the rope was unstranded, and the separate spread yarns were all braided and woven round the socket of the harpoon; the pole was then driven hard up into the socket..
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!