MAGAZETI ya Leo Alhamisi 08 May 2025
“Kwa mujibu wa sheria za FIFA, Wizara haiwezi kuingilia swala hilo (mechi ya derby). Swala la Ligi linasimamiwa na TFF na Bodi ya Ligi na kanuni haziruhusu serikali kuingilia, FIFA itaifungia Tanzania. Kwahiyo tunaendelea na juhudi mbalimbali.”
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwasilisha Bugeni Jijini Dodoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2025/26 leo tarehe 7 Mei, 2025.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!