Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Uwekwaji Wakfu Askofu Mteule Jimbo La Iringa

  • 26
Scroll Down To Discover

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akimkabidhi fimbo ya kiaskofu Askofu mpya wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali mara baada ya kusimikwa na kutiwa wakfu katika ibada iliyofanyika katika viwanja vya Kichangani mjini Iringa Aprili 27, 2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mhali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa, Aprili 27, 2025.

Dkt. Biteko anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MDkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za kuwekwa wakfu Askofu Mteule, Romanus Elamu Mihali kuwa Askofu wa Jimbo la Kitume la Iringa.

Shirika la Kipapa Jimbo Katoliki Iringa wakiimba wakati wa Ibada ya kumsimika na kumtia wakfu Askofu wa Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika viwanja vya Kichangani, mjini Iringa Aprili 27, 2025 



Prev Post MAGAZETI ya Leo Jumatatu 28 April 2025
Next Post Jk Ashiriki Kutoa Mafunzo Chuo Kikuu Cha Havard Huko Boston Kwa Mawaziri Wa Nchi Zinazoendelea
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook